BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,245
Hiyo ni laana.
Mwenyezi mungu awalaani kwa uchafu huo ili wapate fundisho

Mzee wa stendi. Hujawahi gonga sumaku? Usijaribu kwani hutaacha.Hii namba sita( 6)ebu fanya resech vizuri mkubwa utuletee mrejesho kamili
Wakuu. Amani iwe nanyi
Kwa privacy sitataja mm ni mfanyakazi wa lodge gani Dodoma.
Kiukweli yanayotendeka nyumba za kulala wageni (guest house ) , lodge , hotelini na zile
tuitazo guest bubu ni ya hatari , yanafikirisha na ni maasi makubwa sana.
Watu wanakulana aisee jamani. Na miongoni
mwa ambao wanafunana sana ni :-
1. Walimu(me) Vs Wanafunzi (ke)
2. Wahadhiri wa vyuo Vs madenti wao
3. Bodaboda Vs wake za watu
4. Wanafunzi Vs Wanafunzi
5. Waheshimiwa Vs videnti vya chuo
6. Mashoga Vs Waheshimiwa
7. Waume za watu Vs Wake za watu
Na siku hizi watu wanaumizana nyakati za mchana (hasa wafanyakazi).
Mtu X na mtu Y wote wanaaga kama wanaenda kula breakfast or lunch. Nusu saa kwao inawatosha mno kufanya kila mtu. Jamaa analipa room ya elfu 80 per day , anagonga mke wa mtu dakika 20 anasepa zake mazima. Siku imeisha.
Mchana kuna maasi sana Dodoma. Mtoto anaaga home eti anaenda dukani dakika 20. Jamaa anamnyakua mahali na boda anaenda kumtafuna. We unaona yupo full time home kumbe unalizwa.
BodBoda na Bajaji wana siri nzito sana. Wanatumika sana kuleta na kufuata wake /waume za watu Lodge / Guests.
Mm huwa naona mpaka wake wa jamaa zangu wanakuja kugongwa. Mara nyingi tu. Anakukatia mkwanja unauchuna.
Mambo mengi muda mchache!
Aina nyingine hiyo ya wizi na kukwepa kodi... hata hivyo mleta mada anapokea hongo ili kuwafichia siri wake wa jamaa zake! ni heri asingepokea pesa hizo kwani yana/yatafanyika kwake pia. iwe ni kwa mwenzi wake ama binti au mjukuu.pigia mstari,lazima auze,pesa atie mfukoni
Guest inaruhusu vipi Wanaume wawili waingie room moja??? Hadi useme mashoga na waheshimiwa
hahhaahahNdo maana ukipita maeneo ya dodoma kuna ka harufu fulani vile kile cha papuchi
Nafahamu unachofikiriaNdo maana ukipita maeneo ya dodoma kuna ka harufu fulani vile kile cha papuchi
Sasa kama huko hili jambo halikuzoeleka siyo ushamba. Nyie mliobaki dar na wake/waume zenu wametangulia huko hiyo ndohali halisi.Wanaosema Dodoma bado kushamba sana hawajakosea. Hizo nazo ni habari za kutangaza hapa JF?
Duh!!!, umenitisha Mkuu.nimwanaume mjinga na mpumbafu anaye amini kuwa papuchi ya mkewe ni yake peke yake
Duh!!!, umenitisha Mkuu.
Hapa ni Chako ni Chako na Uhindini ndio kuna vigesti bubu vya karibu mjini!. Sehemu nyingine ni Area D, Ipagala na Majengo!.. Nje ya hapo area CWakuu. Amani iwe nanyi
Kwa privacy sitataja mm ni mfanyakazi wa lodge gani Dodoma.
Kiukweli yanayotendeka nyumba za kulala wageni (guest house ) , lodge , hotelini na zile
tuitazo guest bubu ni ya hatari , yanafikirisha na ni maasi makubwa sana.
BodBoda na Bajaji wana siri nzito sana. Wanatumika sana kuleta na kufuata wake /waume za watu Lodge / Guests.
So???Wakuu. Amani iwe nanyi

So???