Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

bado kurudisha Serikali Dar es Salaam maana huko Chamwino porini sana au sio ndugu zangu , nawaereza kweriiii
 
Kama mnataka isibomolewe itungieni sheria. Inaweza kuitwa "An Act to protect the Legacy of the anointed Supreme John Joseph Pombe Magufuli".
Sarcasm mpaka nimesisimka! 😂
Ongezea shujaa wa Africa kwa kizungu.

Everyday is Saturday................................😎
 
Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi,mfano bwawa la mwal. Nyerere,reli ya mwendo Kasi (SGR) ,barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine ming...
Kama nchi tunahitaji miradi yenye impact kubwa kwa uchumi wa nchi ndio ipewe kipaumbele kwa sasa. Mfano mradi wa kufua umeme wa bwawa la JN ni muhimu katika kukabiliana na upungufu na kuongeza mahitaji ya nishati ya umeme ambao ni muhimu sana kiuchumi.
 
Watu huwa wanatizama mbali miaka hata mia mbili mbele huko.

Magufuli alikuwa anatambua kwamba baada ya miaka kadhaa, dodoma itafurika watu...
Aise naona umeandika kwa kufoka sn lkn jua jambo mmoja kila kiongozi anataka awacha alama ya uongozi wake, pili sio kila mradi wa serikali ukisimama ndio hutatekelezwa hapana ni priorities za awamu tu ndio hubadilika.

Kingine unatakiwa kujua kuhamia DODOMA kwa haraka kiasi kile ilikuwa ni takwa la mtu mmoja tu kuhamisha kila kitu kwenda DODOMA kwa muda mfupi kiasi kile ni jambo la kushangaza sn kwa watu wenye akili lkn kwa NCHI maskini kama TZ .
 
Inatakiwa wafute miradi yote ya Magu, waanzishe Yao na waendelee na ule WA bandari Bagamoyo wamechelewa sana.
#KaziNaIendelee
Hapana. ULE WA UMEME WA MTO RUFIJI NI MUHIMU KWA SASA NA MIAKA MNGI IJAYO PAMOJA NA ULEWA SGR. Lbda SGR kipande cha shinyanga mpaka mwanza kiachwe kwa sasa na ujenzi uanzie kahama mpaka nzega mpaka tabora. HII IKIUGANISHWA NA MAKUTPORA TUTAANZA KUPATA FAIDA YA KUBEBA MIZIGO YA RWANDA NA BURUNDI NA CONGO PIA UGANDA wakati huo huo abiria.
 
Magufuli aliyoyafanya kwa miaka mitano, samia hawezi kuyafanya kwa miaka kumi
Ni bora asifanye kabisa maana DENI LILILOPO ni hatari kwa mstakabala wa NCHI huko mbeleni wananchi watabinywa hadi wakome kwa ajili ya Kodi unajua kila mwezi Malipo ya interest kwa ajili ya kuserve Deni la taifa kiasi gani ? Wakiendelea kwa style hii ya madeni kodi zote zinazokusanywa zitakuwa zote zina lipa DENI mtakosa hata hela ya kulipa mishahara.
 
Cha ajabu ni nini hapo? Kama mwendakuzimu mwenyewe hakutimiza miradi yake kwa wakati aliojipangia ujue kuna shida ya fedha, ndo mana kuna miradi mingine inafutwa ili ikamilishwe ya muhimu kwanza.
 
Wakuu, nimekutana nao hii whatsApp, je kuna ukweli wowote?
1623147914192.png
 
Back
Top Bottom