Et zero Brain asimamie wanasayansi katika ubunifu na technologia ya kisasa hizi si ndoto kabsa!Huko Duniani Binadamu wako bize kwenye kuboresha Elimu ilikuendana na Ulimwengu wa sasa, huku kwetu kujua kusoma na kuandika tu, maana unaweza ishia darasa la pili ukizifahamu KKK wewe uwaziri unaupata.
Wataajiri ila idadi haitalingana na wale walioondoka (itapungua) kwani kuajiri mtu mpya gharama ni kubwa zaidiKUNA KITU HUWA NAJIULIZA IVI BAADA YA UHAKIKI WA VYETI NA WENYE VYETI FEKI.
JE NAFASI ZILIZOACHWA WAZI SERIKALI ITATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZILIZOACHWA WAZI ILI KUAJIRI WENYE VYETI ORIGINAL.......
KAMA MPANGO HAUPO BASI SYORY ISHIE HAPA
Si magu amesema hizo nafasi zitangazwe sasa sijui ni usanii au vipi maana hii serikali kwa maigizo tuuu wako vizuriKUNA KITU HUWA NAJIULIZA IVI BAADA YA UHAKIKI WA VYETI NA WENYE VYETI FEKI.
JE NAFASI ZILIZOACHWA WAZI SERIKALI ITATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZILIZOACHWA WAZI ILI KUAJIRI WENYE VYETI ORIGINAL.......
KAMA MPANGO HAUPO BASI SYORY ISHIE HAPA
M nahisi kama NACTE wanahusika kwa kuwa vyeti vyote wao ndo wanaovitoa na sio TCU, TCU wakishakupangia chuo basi biashara yao imeishia hapoNACTE hawawagusi watu walio chini ya TCU,hizo ni taasisi mbili tofauti na zinasimamia mambo tofauti
dalili ya cheti feki hiiKama Bashite anatamba wasituletee sinema za chato
Mm sina usemi yaan
Wewe hujasoma university Ndio maana umeandika hiviM nahisi kama NACTE wanahusika kwa kuwa vyeti vyote wao ndo wanaovitoa na sio TCU, TCU wakishakupangia chuo basi biashara yao imeishia hapo
UDSM nao.wanatoa vyeti feki.kumbe eeeh ha ha toka utoto jina langu Udalili ya cheti feki hii
ha ha ha toka utotoni majina yangu hayajabadilika, sijawahi.nunua cheti cha mtu kama Paul Makonda.... yaani DAUDI BASHITEdalili ya cheti feki hii
Sidhani mkuu!KUNA KITU HUWA NAJIULIZA IVI BAADA YA UHAKIKI WA VYETI NA WENYE VYETI FEKI.
JE NAFASI ZILIZOACHWA WAZI SERIKALI ITATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZILIZOACHWA WAZI ILI KUAJIRI WENYE VYETI ORIGINAL.......
KAMA MPANGO HAUPO BASI SYORY ISHIE HAPA