Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

nimeshangaa kuona na kusikia kuhusu uhakiki mwingine kwa madai kuwa "Kuna watu walipona" kwa bahati mbaya au kwa kulindwa....


maswali...

1. kabla ya kuanza zoezi hili Tena je Ni faida zipi zilitokana na zoezi hili??
2. mfanyakazi wa uma amefaidika Nini na zoezi hili?

mytake...

zoezi hili halina faida na tija yoyote zaidi ya kupotezeana muda tu...
tulitegemea baada ya hao wenye vyeti feki kuondolewa Basi Hali ya mfanyakazi ingebadilika i:e mishahara kuongezeka, madaraja kupanda n.k...

lakini Hadi leo mishahara ni ule alioacha raisi kikwete pamoja na hayo yote....

#nipo_Nyumbani_kwangu_njooni.
 
Back
Top Bottom