Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

Nahisi muheshimiwa anampango wakuwapa increment,kupanda madaraja watumishi wa umma mwaka 2019 kwa gia yakuwahadaa ili wampe vikura vyao vichache.
 
Huko Duniani Binadamu wako bize kwenye kuboresha Elimu ilikuendana na Ulimwengu wa sasa, huku kwetu kujua kusoma na kuandika tu, maana unaweza ishia darasa la pili ukizifahamu KKK wewe uwaziri unaupata.
Et zero Brain asimamie wanasayansi katika ubunifu na technologia ya kisasa hizi si ndoto kabsa!
NK rais wao yupo mbele kuona wanasayansi wake wanachokifafanya yupo busy na computer anashudia!
Angekuwa ziro brain kama bashite angewezaje kusimamia wabunifu!
 
KUNA KITU HUWA NAJIULIZA IVI BAADA YA UHAKIKI WA VYETI NA WENYE VYETI FEKI.

JE NAFASI ZILIZOACHWA WAZI SERIKALI ITATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZILIZOACHWA WAZI ILI KUAJIRI WENYE VYETI ORIGINAL.......

KAMA MPANGO HAUPO BASI SYORY ISHIE HAPA
Wataajiri ila idadi haitalingana na wale walioondoka (itapungua) kwani kuajiri mtu mpya gharama ni kubwa zaidi
 
Sasa nwanzoni mwa hotuba yake ya Jana alisema wameamua kufanya uhakiki kwa sababu amegundua fedha zinazotengwa kwaajili ya mishahara ni nyingi sana kwahiyo anashukuru baada ya uhakiki pesa za mishahara zimepungua ..alafu mwishoni anasema nafac zitafidiwa watu wanajitekenya na kucheka wenyewe nyie mnashangilia sasa subirini tuone kama zitatoka ajira 9000 yetu macho .
 
KUNA KITU HUWA NAJIULIZA IVI BAADA YA UHAKIKI WA VYETI NA WENYE VYETI FEKI.

JE NAFASI ZILIZOACHWA WAZI SERIKALI ITATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZILIZOACHWA WAZI ILI KUAJIRI WENYE VYETI ORIGINAL.......

KAMA MPANGO HAUPO BASI SYORY ISHIE HAPA
Si magu amesema hizo nafasi zitangazwe sasa sijui ni usanii au vipi maana hii serikali kwa maigizo tuuu wako vizuri
 
NACTE hawawagusi watu walio chini ya TCU,hizo ni taasisi mbili tofauti na zinasimamia mambo tofauti
M nahisi kama NACTE wanahusika kwa kuwa vyeti vyote wao ndo wanaovitoa na sio TCU, TCU wakishakupangia chuo basi biashara yao imeishia hapo
 
Haiwezekan wanasema opereshen hiyo haiwahusu wakuu wa wilaya na mikoa kwa kua wao ni wanasiasa wakati wanalipwa kwa kodi zetu na hao ndio wana wajibu wa kusimamia watumishi wengine wa umma kwenye maeneo yao.kwa sababu hiyo wakuu wa mikoa wasihusike tena kuchunguza watumishi hewa na walioghushi vyeti iundwe timu nyingine nao wachunguzwe maana wanaishi kwa kodi zetu na hakuna sheria inamruhusu mtu kughushi vyeti ili aajiriwe.
 
KUNA KITU HUWA NAJIULIZA IVI BAADA YA UHAKIKI WA VYETI NA WENYE VYETI FEKI.

JE NAFASI ZILIZOACHWA WAZI SERIKALI ITATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZILIZOACHWA WAZI ILI KUAJIRI WENYE VYETI ORIGINAL.......

KAMA MPANGO HAUPO BASI SYORY ISHIE HAPA
Sidhani mkuu!
 
Back
Top Bottom