Dodoma ni kutamu jamani

Kama darajani kwa kijazi pananuka vipi kivukoni ferry? Ila Dar es salaam ni dream ya kila mtu.
Sasa dar ni ndoto kwa mtu wakuja kama wewe , mimi hakuna sehemu dar naweza pamisi , nimekaa maeneo mengi mno , kuanzia kinondoni kwa masonga Hadi mwananyamala Hadi msasani maandazi load , kawe ukwamani tegeta kwa ndevu uje mikocheni b , sinza ,makumbusho uje tabata maeneo ya Shima , mbezi luisi kabla hata saint Joseph haijajengwa , tuje goba center pale lound about kwenda mlimani city kalibu na msikiti ,Leo mtu Anaona goba pakishua na kipindi kile ukimwambia mtu unakaa goba hakuangalii mala mbili ni bush mixer ngedere tu , mbweni jirani na hospital ya misheni kote nimekaa , ila nyinyi washamba wa dar ndio mnaona mmefika , kule kimala wamejazana mangi kibao mastaarabu hukai kimara temboni kunanuka mavi ya ngo'mbe na nguruwe , mchaga mchafu sana anapokaa anafuga Kila kitu
 
Moja ya mikoa ambayo sasa naiweka kwenye ratiba zangu nikipata hata pumziko la siku Moja ni dodoma aiseee Kuna sehem Kuna supu ya ulimi ni noma kweli kweli[emoji28][emoji28]
 
TOKA NIMEINGIA MJI WA DODOMA NIMESAHAU KABISA SUALA LA KUTONGOZA NIKIKUTANA NA PISI KALI HUWA NASEMA TU

"JUMAMOSI UNA MUDA TWENDE MSALATO TUKALE NYAMA CHOMA NA WINE KIDOGO"

HACHOMOI NDIYO INAKUA MWISHO WAKE.

CHANGAMOTO KUBWA MJI WA DODOMA KUNA WIMBI LA VIJANA WADOGO WA KIUME KUTUMBUKIA KWENYE WIMBI LA USHOGA NI WENGI MNO MPAKA UNASHANGAA
 
Mji haujapangika hasa upande wa usafiri yaani daladala za shida hasa maeneo ya ndani ndani
Japo barabara za lami zipo za kutosha
 
Dar ndio headquarters za kampuni nyingi Tz, Dar ndio kuna bandari inayotegemewa na nchi jirani kwa Import & Export, Dar kuna soko kubwa la Kariakoo ambalo ni tegemezi kwa wafanyabiashara wa jumla na rejareja Tz.

Ni kitu gani utataka dar ukakosa? Natoka zangu usiku saa 8 mjini kwenye harakati zangu napata usafiri affordable mpaka mlangoni kwangu Kibamba.

Mtu umeshindwa kusurvive mjini ukakimbia unaanza kuongea shit kuhusu jiji lilokushinda kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…