Dodoma na benki chache…. Je! Tutafika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoma na benki chache…. Je! Tutafika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbonea, Nov 2, 2009.

 1. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Wadau, nimeamua kuleta hili dukuduku ili minisaidie kutoa mawazo baada ya kuteseka sana wiki iliyopita nilivyokuwa pale mkoani Dodoma kwa ajili ya mapumziko mafupi. Some tym huwa najiuliza, Hivyi kweli Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania?

  Maana kwa mfano, benki zilizopo pale ni nne tu (NMB, NBC, BARCLAYS n CRDB) n kana kwamba hiyo haitoshi benki hizo zina branch chache kupita maelezo. ATM machine za kuhesabu n foleni huwa kubwa c wik end wala siku za kazi n foleni hiyo hudumu mpaka saa 2:30 usiku.

  Licha ya hilo lakini pia kuna kipindi zinagoma. Wafanyakazi wa mabenki esp CRDB inawabidi wawe kazini mpaka siku za jumapili coz wateja ni wengi kuliko idadi za mabenki. Mbaya zaidi, I wish UDOM wangeiga utaratibu wa St. John’s University of Tanzania kwa kuruhusu wanafunzi walipie katika benki za mikoa watokayo ada zao lakini badala yake wameamuru lazima waje kulipia Dodoma. Now U can c the problem… All of U mnajua wanafunzi wa UDOM walivyo wengi, acha wafanyakazi n wananchi wa kawaida.

  Mimi naona kama kweli serikali inataka iipe hadhi Dodoma kama mji mkuu, ingejaribu kukaa na wenye mabenki mbalimbali n kuwalegezea kodi mbalimbali ili benki nyingi zifunguliwe kule kupunguza kero kwa wananchi wanaoteseka ili hali pesa wanazo ila kuzipata ndy huwa shughuli.

  Swala lengine nililoligundua ni malazi! My God! Dodoma ukiwa na nyumba deal wadau, ni bora uka-invest kule coz vyumba vya kawaida huanzia 30, 000/= kwa mwezi. Too expensive. Najua wengine watakurupuka hapa na kusema mbona DAR hivyo hivyo? Ila I wish ya there to c the room I’m talking about then U conclude….

  Pliiiiz wenye mabenki, ongezeni mabenki zaidi Dodoma coz vyuo vinaongezeka kule kila siku n mji unakuwa ule. Ukizingatia kipindi cha Bunge ndyo huwa balaa coz wabunge wanapotaka ku-draw huudumiwa wao kwanza n wengine baadae. Imagine unakaa kwenye foleni, jua linakuchoma ila wengine wanatumia back doors ku-withdraw their cash…

  Baada ya kusema hayo, naomba maoni yenu.

  MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA….
   
 2. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli pako tyt coz watu wenye accounts ni wengi ila huduma ndy finyu. Waongeze ATM esp pale town.
   
 3. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nasubiri majibu.
   
Loading...