mzee kokona
Member
- Sep 10, 2024
- 48
- 45
Dodoma mjini kati mitaa ya sokoni inanuka ushuzi kinoma, mitaro inayotiririsha majitaka kupeleka kwenye mtaro mkubwa iko wazi harufu mtindo mmoja.
Hili nalo wakalitazame!Dodoma mjini kati mitaa ya sokoni inanuka ushuzi kinoma, mitaro inayotiririsha majitaka kupeleka kwenye mtaro mkubwa iko wazi harufu mtindo mmoja.