Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

Ila cape Town ya kisasa imevunja rekod wanataka kuuua malaika kabisa Sema cape town ya stand makelele mengi
Ya kisasa ni noma aisee sema kdgo expensive,na ndio sbb malaika itaendelea kuexist kidogo,alaf wahudumu wa malaika wahuni wanaongeza bei za vinywaji ukiwa juu..

Ila capetown ya town me nikienda pale nafata kuku tu yan..kuku choma zao zina viungo vzuri ukianza huachi..
 
Khaaaaaah Una ratiba Kama zangu umetisha
 
Mzeee Wa viwanja swimming pool ya Morena inateleza chini Nashera ndo kila kitu alafu watu wachache raha tu
 
Dodoma palivyo pabaaaaaayaa heri ulale hotelini ucheki series

Wadodoma msikasirike lakini ndio ukweli
Huna haja ya kuomba msamaha mkuu! Hatuna namna zaidi ya kusubiri serikali ije! Inaweza kutujengea mito na maziwa! Ongezeni kulipa kodi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…