DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
BUNGENI HIVI PUNDE:

1235f7dd8a78485d38cd193666e68045.jpg

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.

James Delicious alijadiliwa JF, zaidi soma Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

5ffc01343f1c818244ceff8811f5a657.jpg

802b20047696ccf4c8d86ebf60d901c0.jpg

UPDATE:

Vizuri sana Mh KIgwa.

Hawa mashoga na watumia/wauzaji madawa hawatengani. Asilimia kubwa chanzo cha ushoga ni matumizi ya dawa za kulevya, ukiwa stimu na kudebweka na madawa ya kulevya mateja wenzie wanakuvua wanakufila.

Safi Makonda, SAFI KIGWA.
 
Mkuu kwa ninni unasema ni hovyo kudil nayo? kwamba ndio yatasaidia kuvuma vitendo vya kishoga?

Kuna mambo ya kupuuza na kuna mambo yakudeal nayo.

Ukimkamata huyo ndio umetatua au umepunguza ushoga?

Kigwangala alivyolitaja tu hilo jina tayali kuna watu ambao walikuwa hawamjui wamesha google hilo jina ili wamfahamu huyo James ni nani?

Tayali umeshampaisha.
 
Hivi masakata yote haya ya kamata kamata waziri wa mambo ndani mwigulu nchemba yuko wapi!? Mbona amekuwa kimya mnoo!? KULIKONI?

BUNGENI HIVI PUNDE:

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.

James Delicious alijadiliwa JF, zaidi soma Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

View attachment 467840
 
Mungu wangu waziri anashughulika na vitu vidog2 namna hii
 
Hivi Naomba Kuuliza Huyu Si Waziri Wa Nchi???? Na Nchi Hii Maospitali Hayana Dawa Za Kutosha,

Sasa Yeye Anapata Wapi Muda Wa Kwenda Kwenye Mitandao Na Kukutana Na Mashoga

Watu WanaChukua Madaraka Huku Wanashindwa Kufanya Kazi Kwa Weredi Kumbe Wanakesha Kwenye Mitandao Ya Mashoga,

Huyu Waziri Ana Muda Wa Mchezo Sana

Back
Top Bottom