Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
x13402156_966527616779431_1291599322_n.jpg.pagespeed.ic.nhzZCkBotG.jpg

Vanessa Mdee ana ushindani mkali katika himaya yake ya mapenzi na Jux. Ushindani huo si kutoka kwa msichana mwenzake, bali kutoka kwa shoga maarufu Instagram, James Delicious.

Punga huyo amepania kumpokonya Vee Money tonge mdomoni. Pamoja na kuambulia mvua ya matusi kutoka kwa watanzania wanaokerwa na tabia yake hiyo, James haoneshi kujali.

“Mi mwenzenuuu.. Natabia mojaa.. Nikimpenda mtu lazmaa nimpateee. So wala msihangaikee. Kunihukumuuu… et dhambi. Dhambi mmeona hiii tuu eeh.. Veepe wale wanao dhin. ???? Veepe wale wanao uwaa??? Veepe wale wanao bakaa??? Veepe walee wanao sagana?? Veepe walee wanao salit ndoa zao??? Veepe wale wanao logaa..??? Veepe wale wano jiuzaa..????,” ameandika kwenye picha aliyoiunganisha na ya jux.

“Zambi zipo nyingi saana.. So wala msizanii kama hayo manneno yeeenu. Yanaweza kunivunja. Moyo. Ya sari yangu nnayoianza. Ya kumuwekaa kwenye himaya yangu. Huyu ninae mtakaa.. Nampeeenda mpaka najiihis kizungu zungu.. Tukana n kublock… ngoja ramadhan iishe,” ameongeza.

x13414272_171595229910132_1714975786_n.jpg.pagespeed.ic.CubChxzl5T.jpg

03112b7313cf84d554eb99904968a14c.jpg

Source: Bongo 5
 
x13402156_966527616779431_1291599322_n.jpg.pagespeed.ic.nhzZCkBotG.jpg

Vanessa Mdee ana ushindani mkali katika himaya yake ya mapenzi na Jux. Ushindani huo si kutoka kwa msichana mwenzake, bali kutoka kwa shoga maarufu Instagram, James Delicious.

Punga huyo amepania kumpokonya Vee Money tonge mdomoni. Pamoja na kuambulia mvua ya matusi kutoka kwa watanzania wanaokerwa na tabia yake hiyo, James haoneshi kujali.

“MI MWENZENUUU.. NATABIA MOJAA.. NIKIMPENDA MTU LAZMAA NIMPATEEE. SO WALA MSIHANGAIKEE. KUNIHUKUMUUU… ET DHAMBI. DHAMBI MMEONA HIII TUU EEH.. VEEPE WALE WANAO DHIN. ???? VEEPE WALE WANAO UWAA??? VEEPE WALE WANAO BAKAA??? VEEPE WALEE WANAO SAGANA?? VEEPE WALEE WANAO SALIT NDOA ZAO??? VEEPE WALE WANAO LOGAA..??? VEEPE WALE WANO JIUZAA..????,” ameandika kwenye picha aliyoiunganisha na ya JUX.

“ZAMBI ZIPO NYINGI SAANA.. SO WALA MSIZANII KAMA HAYO MANNENO YEEENU. YANAWEZA KUNIVUNJA. MOYO. YA SARI YANGU NNAYOIANZA. YA KUMUWEKAA KWENYE HIMAYA YANGU. HUYU NINAE MTAKAA.. NAMPEEENDA MPAKA NAJIIHIS KIZUNGU ZUNGU.. TUKANA N KUBLOCK… NGOJA RAMADHAN IISHE,” ameongeza.

Source: Bongo 5
 
Back
Top Bottom