DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

Yaan huyu ni shoga.
Serikali imeagiza akamatwe. Vizuri. Hii ni ajira nzuri sana. Polisi wanafanya kazi yao. Wanalipwa. Watamkamata baadaye watampeleka wapi? Mahakaman baadaye jela? Jela kabisa. Hafu baada ya hapo? Sasa jela atapelekwa ya kinamama au mashoga wenzie. ..
Ninawaza mbali sana!
 
mmhh kama nawaona watetezi wa haki za binadam toka nchi mbali mbali wakijiandaa kufanya kazi yao...


by the way kwa upande flan hii inshu itampiga kick huyu mliwa jicho.
Nchini kwetu kufanya biashara ya ngono ni kosa kisheria iwe ya kawaida au kinyume na maumbile. Sasa kufanya ngono kinyume na maumbile ni kosa jingine hata iwe kwa ruhusa ya mfanywaji(mfanyiwa). Kawaambieni hao watetezi kufanya kwao sio kosa lakini ndani ya Tanzania ni kosa.
 
BUNGENI HIVI PUNDE:

1235f7dd8a78485d38cd193666e68045.jpg


Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.

James Delicious alijadiliwa JF, zaidi soma Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

5ffc01343f1c818244ceff8811f5a657.jpg

802b20047696ccf4c8d86ebf60d901c0.jpg


UPDATE:


wameshindwa kutusaidia chakula kwa bei nafuu wanahangaika na machoko
 
Ushoga sio jambo dogo eboh!!!! mnamlaumu Waziri kushughulika na Mashoga! hivi mnaona ni sawa jamii ikawa inaendesha ushoga bila kukemewa na kufanya juhudi za kuumaliza kabisa?
Acheni kukosoa kila jambo hata zuri mnaona ni makosa.
 
Wakimkamata sijui watampeleka jela gani maana kama hizi hizi sero zetu huko pia biashara yake itaendelea kama kawa, akitoka anakuwa mzoefu zaidi ,
 
Hivi ushoga ni tatizo la kushughulikiwa na Wizara ya Afya au ya Mambo ya ndani?
Hata mimi namshangaa kigwangala, anahangaika na mashoga kwani ni wagonjwa? Kuna mambo ya msingi hashughuliki nayo anahangaika na watu walioamua maisha yao.
 
Hili bunge bana.. badala ya ku deal na mambo ya maana wanadeal na mashoga... sasa mashoga wa nini.. kwa maana wale hata wafanywe nini hawawez kuacha kufanya hayo mambo. Labda wawa ue kama katiba inasema hvyo
 
Ujanielewa Na Wala Hutanielewa Sababu Huongei Kwa Usawa Ila Unaongea Kwa Hisia

So Kitu Kuja On His Way Ni Ushoga Tu Wa Mitandao Ya Instagram? Unajirabu Kujistify Upuuzi

Ungejua Dhamana Ya Uongozi Usingeongea Ulichoongea, Una Mengi Ya Kujifunza

Tanzania Ina Watu Mil 45 Wangapi WanaAccount Instagram Kujua Kama Kuna Shoga Anajiuza

Ila Kati Ya Hao Mil45 Wangapi Wanajua Mapungufu Ya Dawa Maospitalini? Wangapi Wanajua Gharama za Matibabu Mahospitalini?

Then Leo Hii Kiongozi Mwenye Dhamana Anakuwa Mwepesi Kutoa Maamuzi Kwenye Swala La Kijana Shoga

Ila Ni Mzito Kwenye Maswala Ya Yenye Msingi Kwa Jamii,

Mzee Wa Tandahimba Kule Kijijini Unazani Anamwelewa Kigwangalla Anaongea Nini Kuhusu Shoga Instagram?

You Need To Sharpening Your Brain And Stop Been The Advocate Of Stupidity

I would Also Advice Your Contributions At Least To Reflect Your Avatar

Wewe shoga unataka nani sasa aongelee ushoga ambaye hana kazi ingine?, mbona unajichoresha huwezi kumzuia Kigwangala kama waziri kulisemea lolote lile ambalo katika jamii halifai! unabaki kusema yuko bize hatakiwi kulisemea la ushoga asemee ya madawa tu......

ebu mtaje kiongozi gani au nani ambaye hayuko bize anapaswa akemee ushoga??

taja
 
Sijui Uhuru Wetu miaka zaidi hamsini... Tumefikia wapi??? Hakuna maji... Dawa.. Vyoo... Mahindi yanakauka shamba kwa sababu yatastawi tukimwomba Mola makanisani na Misikitini...! Nchi Nzima Inarindiima... Ati Makonda kapata msokoto nyumbani kwa Wema... Sisi nafikiri ukaribu Wetu na ngedere hauyumkiniki!
 
Sijui Uhuru Wetu miaka zaidi hamsini... Tumefikia wapi??? Hakuna maji... Dawa.. Vyoo... Mahindi yanakauka shamba kwa sababu yatastawi tukimwomba Mola makanisani na Misikitini...! Nchi Nzima Inarindiima... Ati Makonda kapata msokoto nyumbani kwa Wema... Sisi nafikiri ukaribu Wetu na ngedere hauyumkiniki! Sasa huyu James akikamatwa sijui atawekwa nyumbani kwa hamis??? Maana segerea atachanwa makalio.....
 
Nimegundua Watanzania wengi ni watu ambao wanadanganywa na matukio rahisi rahisi.

Yani na mapungufu yote ya wizara ya afya. Ushoga wa James Delicious ndo imekua topic of the town itakayoongelewa week nzima.

Kweli nimeamini hamna kazi rahisi kama kumtawala mtanzania.
Acha upuuzi wewe utakua shoga kwanini utetee kwani ushoga hausiani na afya? Madhara yatokanayo na ushoga ni kama unga tuu
 
mmhh kama nawaona watetezi wa haki za binadam toka nchi mbali mbali wakijiandaa kufanya kazi yao...


by the way kwa upande flan hii inshu itampiga kick huyu mliwa jicho.
Trump kasema viongozi wa ulaya wasiwaogopeshe viongozi wa afrika na kuwalazimisha wakubali ushoga. Amewapa rungu viongozi wa afrika waukatae ushoga na atawasaidia.
 
Back
Top Bottom