yeye keshasema atatekeleza....kuna kuna zingine anaziita shabaha.....so jibu linaweza kuwa hakulenga vizuri.......Ze Guy is confused, amesahau kuwa alishatoa ahadi tayari bado utekelezaji tu, sasa hizi ahadi zote atazitekeleza zote kwa kipindi cha miaka mitano tu???
Anaongea tu ili kufurahisha watu sijui kama yote yatatekelezeka.Ze Guy is confused, amesahau kuwa alishatoa ahadi tayari bado utekelezaji tu, sasa hizi ahadi zote atazitekeleza zote kwa kipindi cha miaka mitano tu???
Huoni kuna watu nyuma yake??? Watamdaka...Donti wore.....Namuurumia asije anguka
sema makao makuuu yako ya wilaya hayana umeme tuupeleke..... tutasambaza mjini na vijijini tufikie 30% sasa hivi ni 14%Anaongea tu ili kufurahisha watu sijui kama yote yatatekelezeka.