Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

Nimezunguka kwenye Supermakerts Nairobi mara kwa Mara, Bidhaa za tanzania nilizoona ni AFricafe tu,
Sijui hizi takwimu kwamba tunauza zaidi kenya JK kazipata wapi?
Lazima hizi takwimu zitakuwa zimechakachuliwa.
 
Ilikuwa hotuba nzuri sana na ya matumaini. SIna hakika saaaaana na upande wa pili wa utekelezaji sababu cabinet hatakuwa na watu ambao ni action oriented. Hivyo ahadi alizotoa na dhamira aliyoionyesha vinaweza kupotea
 
Back
Top Bottom