tatizo flow inashindikana sababu president anaongea randomly mno
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
DODOMA, 18 NOVEMBA 2010
(Upuuzi mtupu na uwongo uliokomaa.)
tujadili hii hotuba.
Elewa Chiliwe waliotoka ni wabunge wa chadema wakiongowa na wanachadema walioingia bungeni kindugu na kutuambia wanatoka kwa sababu wanawakimbia mafisadi wakati wanaotoka ni mafisadi wanaooooongozana.... Tusidanganyanye CHADEMA hawajakomaaa kisiasa ndio maana mwenyekiti, na uongozi mzima wakisema tutoke anaefuata ni mdogo wake ambaye kaingizwa bungeni kupitia mgongo wa kaka ama mjomba nae anatoka...... CHADEMA hawajakomaaa kisiasa....
Jamani mbona hamuelezi kama CHADEMA wapo au hawapo? Tunashauku ya kujua hilo kuliko hilo wakuu!
HUO NDIYO UPU$#####vU KWANINI HAJAZUNGUMZIA UFISADI NA ANAJUA NI UGONJWA MKUBWA SANA NA UNAIMALIZA NCHI HII!JK anataja vipaombele
Uchumi
amani/Muungano
kuboresha mipango kukuza uchumi
Atawezesha middle claas enterprenuar
kuboresha secta binafsi na kuruhusu soko huria
kufanya Tz kuwa lango kuu la biashara na usafiri east africe kwa kuboresha bandari,barabara
maliasili kunufaisha taifa
kuboresha ukusanyaji wa mapato na kuinmarisha nidhamu ya matumizi
kupanua na kuendeleza elimu primary-university. makazo kwenye sayansi
kupanua huduma za kijamii. barabara, maji, afya reli
kuimarisha utawala bora na sheria na kupamabana na wizi, kaepuka kutaja ufisadi
kuimarisha uhusiano na mataifa mengine
kuongeza jitihada za kuhifadhi mazingira
kulinda mafanikio yaliyopatika. kukamilisha ahadi ya 2005
ipaombele viko 13.
kumbe wewe ni$$$$$ flani nilikuwa sijui!
wewe unaonaje/Jamani tunazungumzia wabunge wa chadema kutoka au baadhi ya wabunge wa chadema? Mbona sielewi mantinki ya hii post ya Khoty????
I take it for you ufisadi is not a problem in Tanzania.
Madududududududud aka mosquitomosquitomosquito!!
pumbaYaani sio kutoka tu..hata kusikiliza hotuba yake kwenye TV wakiwa vyumbani mwao wasusie..na sisi wakereketwa ambao tuko kwenye TV pia tususue..na infact na hata hii thread ya live from Dodoma pia ifungwe..maana ni kama vile tunamtambua Raisi ati!
yaani anabwabwaja tu hotuba haina mwelekeo wala mtiririko maalumu
Bila kupigana na ufisadi juhudi zozote za maendeleo nchini Tanzania zitakwama. Kila mradi tunapoteza 30% tutafika kweli? That is what the real Dr Slaa is saying, dude. And by the way who killed STAMICO?Bulding capacity for STAMICO to actually doing some mining & Processing. Sort like Petronas with Oil in Malaysia. Dude speaks like he has been there. He knows the challenges. SLaa yeye anaongea ufisadi, ufisadi. As if that is our silver bullet