Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

tumefanikiwa kurekebisha mikataba ya makampuni makubwa na wameanza kulipa Kodi, tumetunga sera mpya na sheria mpya........ CCM daima

Wewe lazima mme wako ana nyumba ndogo, inaonekana una ugwadu wa kufa mtu. Hauna house boy awe anakusaidia kuondoa hizi stress? Pole sana Mwaya
 
wataongeza fursa za elimu za juu na watajenga vyuo vingi nya ufundi stadi.
wakamilisha ujenzi wa uDOM na kuanza mchakato wa ujenzi wa Nyerere memorial university kle butiama, watageuza mbeya tech kuwa University na kila kanda itakuwa na univesity. anazungumzia afya sasa
 
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
DODOMA, 18 NOVEMBA 2010
Sisi katika CCM tunawashukuru ndugu zetu hawa wa vyama vya upinzani kwa kutupa changamoto katika uchaguzi huu ulioisha. Tumejifunza tumeteleza wapi, na tunajipanga kuvirudisha viti tulivyovipoteza na kuongeza vingine zaidi. Tunawashukuru kwamba mmetushtua mapema na kutupa fursa ya kujipanga upya wakati bado tukiwa ni Chama tawala.

Mheshimiwa Spika,



Akiwa serious aifanyie hii kauli yake kazi. Vinginevyo CCM chali na ulimi nje mwaka 2015.
 
Mbona haelezi realities za maisha na how shall we make them happen, naona anaongea stori tu na kama vile anasizisizi hivi sijui anataka apige pindu!!!!
 
anazungumzia elimu, wataimarisha na kupendelea bajeti ya elimu.
wataajiri walimu wa kutosha, kuongeza matumiozi ta IT, watanunua vitabu, kujenga maabara katika shule zote za sekondari, watajenga nyumba za waklimu kote nchini

anajua kuwa hiyo elimu anayosema wamewapa wanafunzi 10% mkopo???
hayo mavyuo makuu ni ya kusomesha shangazi zake?????
 
wataongeza madaktri na wataamu wa afya.
watajenga mahospitali na maabara za hospitali.
uko mpango wa miaka kumi na huu ni mwaka wa pili wa huo mpango
wataongeza bajeti ya afya
 
yaani kishapagawa ..chadema kutoka nje imemstua sana ..yaani ni raisi wa kwanza tanzania kufanyiwa hivi..hahaaaaaa mkwere kazi unayo ..eti nchi ina mpasuko wa kidini
mpasuko wa kidini kauanzisha yeye mwenyewe! Aseme sasa kuwa wakristo wamekimbia bunge!
 
Ameingia kwenye record mpya ya aibu na ya aina yake kwa serikali ya JMT

See my signature below
 
Naona kama vile anachanganya wishes na plans (mipango). maana hizo plans zake kwa uchumi wa TZ hata miaka mia haitekelezeki.
 
Kususiwa na Chadema hakumfanyi kutokuwa Rais!

mbona unapanic kaa utulie uandike. Mbona akili yako iko slow ivo. Umeandka kijimstari IQ ika jarm ukasevu,imeanza tena ku activate unaandika tena,acha na wengne waandke bwn!
 
anazungumzia elimu, wataimarisha na kupendelea bajeti ya elimu.
wataajiri walimu wa kutosha, kuongeza matumiozi ta IT, watanunua vitabu, kujenga maabara katika shule zote za sekondari, watajenga nyumba za waklimu kote nchini

Ze Guy is confused, amesahau kuwa alishatoa ahadi tayari bado utekelezaji tu, sasa hizi ahadi zote atazitekeleza zote kwa kipindi cha miaka mitano tu???
 
Wewe lazima mme wako ana nyumba ndogo, inaonekana una ugwadu wa kufa mtu. Hauna house boy awe anakusaidia kuondoa hizi stress? Pole sana Mwaya

Ntemi Kazwile, una mke wa pili??? slaaa anae ........ kama unabinti nilete posa maana umasikini unaouimba atalala njaaa kimbe asiye na hatia
 
kipaumbele cha kutafuta marafiki na wafadhili


huyu kweli ni mjinga kwa asili
 
Mbona haelezi realities za maisha na how shall we make them happen, naona anaongea stori tu na kama vile anasizisizi hivi sijui anataka apige pindu!!!!
HAHAHAHA MKUUUU DUUUUU SO FUN! :smile-big:
 
anazungumzia maji.
wawaomba wafadhili na wahisani wasaidie sekta ya maji, ana imani watasaidia hilo.
vyanzo vya maji vitalindwa
 
Back
Top Bottom