Dodoma Hotel tengenezeni website

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Mwanzo wa mwezi huu kuna watu watakwenda Dodoma kwa ajili ya kuanza kazi na waajiri wao wamewaambia kuwa watafikia New Dodoma Hotel kabla ya kupatiwa nyumba za kudumu kwa ajili wa makazi....watu hao si watanzania hivyo walihitaji kuiona na kuijua hiyo Dodoma Hotel kwa undani hata kabla ya kufika huko "makao makuu ya Chama na serikali" ila ka bahati mbaya tuli "google" New Dodoma hotel na hatukufanikiwa kupata website yake....sasa huu ni ulimwengu wa kibiashara watanzania yatupasa kubadilika....
 
Back
Top Bottom