Yaani umenena. Huwa siwaelewagi hawa wafuata upepo inamaana huyo malaika ni mbulukenge kiasi cha kupotoshwa kila kukicha?? Ajabu kila sifa nzuri anataka apewe huyu Kiongozi wa malaika lakini anapoharibu tu eti anashauriwa vibaya lol!!. Niwakumbushe tu hawa wanaojifanya kumtetea kuwa alishasema Ukimshauri ndio umeharibu kabisaaaaaa yeye anapereka nchi mbere na kama kuna mtu anataka kumkwamisha kwa kumpa ushauri au kwa namna yoyote atakwama yeye, tupo kwenye raiti traki, ndugu zangu watanzania mniamini.Huyu anayepotoshwa , hana akili timamu kiasi cha kuweza kutambua hili ni sahihi na hili sio sahihi ?