Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,928
- 221,320
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa kujibu hoja zake.
Pichani: Lissu akilikagua gari hilo kabla ya kuondoka nalo
Pichani: Lissu akilikagua gari hilo kabla ya kuondoka nalo