Dodoma: DC Katambi azidi kukengeuka, awadhalilisha wabunge wa upinzani

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
 
Na wabunge wampe oda ya kwenda kumtibu kule aliko geuzwa demu.
 
Jana nayo zezeta lingine likaweka mtandaoni.
Ndio unajiuliza Magu kawafanya mini hawa vijana? Mbona wameharibikiwa juu mpaka chini na mbele mpaka nyuma?
IMG-20190904-WA0001.jpeg
 
Jana nayo zezeta lingine likaweka mtandaoni.
Ndio unajiuliza Magu kawafanya mini hawa vijana? Mbona wameharibikiwa juu mpaka chini na mbele mpaka nyuma?View attachment 1197438
Huyu jamaa amezidi kuwa mjinga baada ya video yake ya utupu kuvuja, yaania ana viungo vyote vikubwa kasoro kile kimoja kinacho mpa mwanaume sifa ya kuwa mwanaume amepewa kdogo kuliko, akiwaza hilo lazima aumie. Yaani Mungu huyu kweli fundi maana jamaa wa Umber Rutty kapewa kamwili kadogo ila uanaume mkubwa , le mbulula anaumia anajipooza kusifia ujinga,
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Na mijino yake michafu ile kama anakula kinyesi
 
Back
Top Bottom