Dodoma: DC Katambi azidi kukengeuka, awadhalilisha wabunge wa upinzani

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Kwa hyo hili karai lenyew lilipata tiba?pumbavu
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Baba yao Ibilisi ndio anawafundisha haya, wala si wa kuwashangaa.
 
Hawa ndiyo wanaitwa viongozi.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Ndio uwezo wake wa kufikiri ulipoishia
 
Jana nayo zezeta lingine likaweka mtandaoni.
Ndio unajiuliza Magu kawafanya mini hawa vijana? Mbona wameharibikiwa juu mpaka chini na mbele mpaka nyuma?View attachment 1197438
IMG-20190904-WA0023.jpeg
 
matahira haya katika kusifia kwao yako tayari hata kukufuru kama lile lililosema mungu amshukuru bwana yule
 
Back
Top Bottom