Dodoma: DC Katambi azidi kukengeuka, awadhalilisha wabunge wa upinzani

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Akangaarishe meno yake kwanza .mdomo mchafuu
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Tatizo kwangu mm sio manene,tatizo kwangu mm wakinibuwa kwa hoja wanabeba bunduki
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
huyo katambi mbona yeye inaonekana amechelewa kupewa kitanda pale Mirembe
 
Maneno yake sio tatizo kwa watu wenye ngozi ngumu kisiasa
Tatizo ni wao wakijibiwa maneno ya kisiasa wanakimbilia majeshi yetu,wanakimbilia Mapanga na bunduki
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Hii ofa ni nzuri wapinzani wachangamkie kabla haijaisha.Hongera mkuu wa wilaya.
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Kapatia kabisa.
 
mwanaume ye yote anayeweza kuwasaliti wenzake kwa kipande cha mkate ana ugonjwa wa akili.
 
Mimi siwapendi wasaliti na pia wazurumati,napenda haki napenda umoja
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
jinga kabisa . domo kama bakuli .. hajui tofauti iliyopo kati ya maendeleo ya vitu na watu mji wa dodoma hauna hata maji yeye anasifia ujenzi wa reli
 
Amesahau alikotoka huyu bwege

Hata Wewe ukienda huko utakuwa kama Yeye tu. Acheni Kumlaumu kwani bado sijaona Mpinzani / Mwanaharakati asiye na Njaa Tanzania na ambaye akifuatwa na Kuhongwa pamoja na kupewa Ahadi za kila aina atazikataa. Msiwe Wanafiki katika hili na wala tusidanganyane hapa.
 
Point ya msingi bado iko pale pale? Ina maana Tz tunashangilia jasho la mtu kudhulumiwa?
 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi amenena haya kwa wapinzani

'Msimu huu wa Bunge natoa ofa ya tiba kwa 'Wanasiasa wa upinzani top 5 wagonjwa wa afya ya akili', wasiotambua uwepo wa vita ya kiuchumi Duniani na jitihada za Serikali ya JPM kuikomboa Tanzania kiuchumi, watatibiwa bure Hospitali ya Vichaa ya Milembe Jijini Dodoma.'
Nimejipa muda kusoma na kutafakari inakuwaje mtu mwenye akili timamu na madaraka anaweza kuzungumza hivi.Nimejaribu kusoma na kusoma na ninachokiona ni hofu na kila mteule hajiamini na anaitafuta kick ya kusikika.
Mungu ni mwema na Tumshukuru yeye kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom