Dodoma city photo

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Acha hizo mkuu. Stendi yenyewe bado inajengwa mkuu, nasikia kutakuwa na stendi nne...
 
Mkuu tuache masihara,dodoma sehemu za misosi ya maana tena kwa bei chee ni nyingi sana sana,dar unaweza zunguka kutafuta msosi wa maana ukaishia kwa mama niongeze mchuzi nitilie maharage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tuache masihara,dodoma sehemu za misosi ya maana tena kwa bei chee ni nyingi sana sana,dar unaweza zunguka kutafuta msosi wa maana ukaishia kwa mama niongeze mchuzi nitilie maharage

Sent using Jamii Forums mobile app
halafu dar hawali maharage sana kama mikoani uku bora ule utumbo wakuku vidaki filigis maana kunahotel baadhi ya vitu kwenye kuku hawauzi. Dar mbona msosi kawaida kutokana na mzunguko mkubwa wa hela tofauti na mikoani kupata 20elfu at a muza madafu kitu cha kawaida tena ni faida
 


hakika kuna tofauti kubwa sana kwenye hili jiji la kutamkwa yaaan "KWANZIA LEO DODOMA NI JIJI" mkulu sijiu alikua anawaza nini ila hongereni maendeleo hayana chama wala ukanda
 

We jombaa sio mzima.. wengine tulikanyaga dom 2006 hivyo tukipita saa hii tunaona transformation ya ukweli..

Dom itakuja kuwa jiji la kisasa kuliko yote Tz maana linakuwa kwa plan japo Dar ina league ya peke ake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haliwezi fikia dar kamwe labda mwanza na arusha
 


dodoma airport siku hii abiria walikua wengi sana ndege zote ziliisha

watu tukawa tunacheza basketball ndege haamnaaa
 
Dodoma onyo kbs!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…