min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,844
- 176,069
Nikulegeza ubongo tu na kutambua hakuna mwanamke wako binafsi, ili hata likitokea la kutokea tayari akili yako imeshapata taarifa, hakuna mshkuto na utafanya maamuzi ya busara.Ninachomshukuru Mungu mapenzi nilishawaachia wanadamu wengine waendelee nayo, mi nimebaki mtazamaji tu.