Dodoma akina dada acheni uchoyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dodoma akina dada acheni uchoyo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwana Kwetu, Oct 9, 2012.

 1. Mwana Kwetu

  Mwana Kwetu JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Nimekuja hapa Dodoma sijapata mdada mwenyeji kabisa wa kunikaribisha mpaka nabakia mpwekee. Naomba mmoja ajitolee basi ani host leo jamani au mmebanwa kiasi hicho? kuni host si maanishi mnipatie malazi No mi nahitaji Company ya kuzunguka hapa mjini kwani niko self contained. I'm serious kwa yule mwenye upendo wa DHATI PLEASE PLEASE I need your company kwani ziara za kuzunguka zoote I will pay. plz!!!!!!!!!!!!! PM me au hata socialization kwa gharama zangu mnakuwa wachoyo?.
   
 2. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Tatizo hujawaa ahidi clearly watafaidi vipi watakapo kupa company? pia ni akina dada wa kada zote au class fulani
   
 3. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Nenda chako ni chako ucku au club la aziz upweke wako utaisha kabsaaaaaaaa
   
 4. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Hawajakuelewa kwani akina dada wengi ni sitaki nataka halafu wanabaki kuduwaa. Mkuu mwelekeze Club la azizi ni wapi unaweza ukmsaidia zaidi; je huko ndiko wanakopatikana?
   
 5. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Isiwe unamwagizia mtaa wa changudoa mkuu
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  wameshtuka, wamekuogopa na huo mtambo wako wa kupachikia mimba
   
 7. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Mwanakwetu usiendekeze hizo bana! Yaani unataka kila ukifika mahala upate mdada wa kukutoa upweke! tena unajinadi bila haya kwamba umejiandaa kwa mapesa ya mizunguko yote! huku ukisisitiza mwenye upendo wa dhati ambao wewe mywenyewe huna ila ni kiasi cha kuuburudisha moyo wako! LOL
   
 8. Mwana Kwetu

  Mwana Kwetu JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Mi mstaarabu tu hayo unayosema nilitegemea kwa watu ambao ni pessimistic kama most of you. Mimba utajipachikia kila mtu utalea na nini? Kila mtu yuko care kumlinda mwenzake na hakuna mtu mstaarabu atakayefanya jambo la kumwumiza mwenzake. Wao wahindi wame advance kwa hili kwani hata mchumba hutafutwa kwa njia ya ads za magazeti na TV.
   
 9. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli Dodoma imaekaa nyeusi sana nilikuwa pande hizo few dayz ago...niliambulia kapa acha kabisa
   
 10. Mwana Kwetu

  Mwana Kwetu JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Ustake ncheke mkuu umekwenda mbali sana!!!!!
   
 11. Mwana Kwetu

  Mwana Kwetu JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Kwani hilo lina tatizo gani happy na elewa si kila mahali rafiki sijajiandaa kwa mipesa kwa sababu hiyo tu. Upendo wa dhati hata kwenye ndoa zenyewe hamna itakuwa huku mtaani ila sema wako wadada wema ambao wanakuja kwa malengo mawili likiwapo la uporaji. Sasa mimi nazungumzia wale ambao wako tayari ku create new friends kwani haitakuwa mwisho wa kuonana. halafu elewa natafuta host
   
 12. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wanaume bwana!akifanya hivyo bint ataitwa majina weee ila wakifanya wao correct
   
 13. shimwemwe

  shimwemwe Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kweli kama kila mkoa unapoenda unaomba wadada basi mtandao ni mkubwa kwako, nenda 84 utapata, Maisha club, Chako ni chako, Tanzania Guest kwa urahisi sana hata mda huu. unaweza ukanikuta nami nakusubiri
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ukikutana na jini huko utamlaumu nani?Acha mambo hayo ya kukutana na watu usiowajua si mazuri.
   
 15. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0

  Kweli nyoka hafundishi kukata kona.

  Unavyojua kujitetea! Host ndio anatafutwa kwa njia hiyo? na ahadi tele! tena lazima awe wa kike! ha ha ha Inaonekana huwa unawapata sana hao Mahost na bila shaka huwa wanaishia kukodoa macho, wakikuangalia unavyoishia kwenye kona kama nyoka! Haya bana, kila la kheri. Umeshapata application ngapi?
   
 16. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Kwani vyuo bado havijafunguliwa tu mpaka sasa? Pale CBE utapata company ya kutosha tena kipindi hiki ni kizuri maana hakuna kikao cha waheshimiwa pale mjengoni yaani unajibebea kiulainiiiii kama unanawa!
   
 17. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,492
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sawasawa
   
 18. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,492
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ciello ni wewe au ama nakufananisha
   
 19. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,492
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tehehehe!wadau bwana....
   
 20. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,492
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ashapachika wangapi
   
Loading...