Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Yapyap mzee,hapa kilichotokea ni dereva Hana uzoefu na LHD na pia maybe alikuwa kibatiHilo 5.7 sio mchezo, 380HP mkuu af Left hand sindio barabara za Marekani.
Yapyap mzee,hapa kilichotokea ni dereva Hana uzoefu na LHD na pia maybe alikuwa kibatiHilo 5.7 sio mchezo, 380HP mkuu af Left hand sindio barabara za Marekani.
Pole mkuu na huo mdomo naona sijui ni kipigo kama cha Shilole hahhaa
........zimekithiri.......Ajali zimekisiri sana maeneo ya dodoma kulikoni au ndio kafara zenyewe
Usitumie makalio kufikiri,wengi wanaokaa nyuma huwa hawafungi mikanda.ila bado najiuliza....inakuwaje mtu wa siti ya nyuma anakufa lakini wa mbele yake kavunjika vidole huku toyota sequoia inaonekana imeisha kabisa upande wa mbele.
Ulishawahi kusoma physics!!?ila bado najiuliza....inakuwaje mtu wa siti ya nyuma anakufa lakini wa mbele yake kavunjika vidole huku toyota sequoia inaonekana imeisha kabisa upande wa mbele.
Kwa utafiti upi ulioufanya mkuu??Usitumie makalio kufikiri,wengi wanaokaa nyuma huwa hawafungi mikanda.
Hapana.....embu tiririka mwanawane.Ulishawahi kusoma physics!!?
Space,time, energy and force......Hapana.....embu tiririka mwanawane.
Ikaeee wazi mpaka uchaguzi upiteRip , hii nafasi ya DAS naomba Mh John pombe Magufuli umpatie Pascal Mayalla
Mwaka wa siasa umeanza tayari, ajari zitakuwa nyingi Sana. Kafala kafala kafala kafala kafala kafala kafala kafalaWatu Watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya Gari mbili kugongana mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Ajali hiyo pia imesababisha majeruhi kadhaa akiwemo Mbunge wa Handeni Mhe.Omary Abdallah Kigoda.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Dodoma SACP Gilles Muroto amethibisha.
ITV BreakingNews
View attachment 1503466View attachment 1503467
DAS Handeni afariki Dunia kwa ajali ya gari
JUMAMOSI , 11TH JUL , 2020
Aliyekuwa Katibu Tawala (DAS) Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga Boniface Maiga amepoteza maisha katika ajali huku watu watatu wakijeruhiwa akiwemo Mbunge wa jimbo la Handeni Omary Kigoda ambaye amevunjika vidole viwili vya mkono wa kulia wakati wakielekea kwenye mkutano mkuu jijini Dodoma.
![]()
Kwa mujibu wa taarifa yake Dereva wa gari la Mbunge wa Handeni Omary Kigoda, Peter Mganga amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa saba usiku katika eneo la Vikonji Dodoma.
Dereva huyo amesema chanzo cha ajali hiyo imetokana na mwendo kasi aliokuwa nao dereva wa basi baada ya kuovateki sehemu yenye kona.
Dereva huyo wa Mbunge amesema baada ya dereva wa basi kuovateki katika eneo hilo lenye kona kali alimuwashia taa ili aweze kupunguza spidi ya gari ila dereva wa basi hilo hakupunguza spidi na ndipo wakavana uso kwa uso.
''Katika ajali hii dereva na kondakta wa basi wote wamefariki nilijaribu kumuwaahia taa nyingi ili apunguze spidi lakini cha kushangaza kama hajaziona ilibidi sisi tupaki pembeni ndipo mwendo aliokuwa nao ililazimu kulivaa gari letu hasa upande wa kulia aliokuwa amekaa mheshimiwa Mbunge na Das wetu aliyefariki,''amesema Mganga.
![]()
Amesema mara baada ya ajali hiyo Das alipoteza maisha hapo hapo huku wao wakikimbizwa katika hospitaliti ya Chamwino kwajili ya matibabu ambapo Mbunge alilazimika kufanyiwa upasuaji wa vidole hivyo wakahamishiwa katika hospitali ya Mkoa Dodoma (General Hospital).
Mganga amesema baada ya kupata matibabu wawili waliruhusiwa kutoka hospitalini hapo saa kumi na moja alfajiri huku Mbunge Kigoda akibaki kuendelea na matibabu ya vidole alivyoumia.
![]()
Amesema katika gari hiyo ya Mbunge Kigoda walikuwa watu wanne akiwemo yeye Dereva wa Mbunge Peter Mganga, Mbunge Omary Kigoda, Mbelwa Saidy ambaye ni ndugu yao pamoja na Boniface Maiga (DAS) aliyepoteza maisha na kueleza kuwa mwili wa marehemu upo katika hospitali hiyo ya Mkoa.
Hahahahahaaaa!!!!Kijana umepinda kweli!!!Watoa kafara hamkosi kabisa kujitetea kwasababu dhaifu
Mnatumaliza aisee
Barabara ya Dodoma Morogoro wakati wa usiku mkubwa ni hatari sana,kwa madereva wanaosafiri njia ile watakuwa wananielewa,kwanza kuna sehemu kubwa sana haina michoro ya mistari,katikati wala pembeni,njia imezama sehemu nyingi sana,pia kuna vishimo vya kustukiza (pot holes) nyingi na madereva wa mabasi au malori wengi wao huwa wanawasha full light ambapo hata ukiwasha zako ili kuwastua huwa hawajali,kama huamini tokea Morogoro usiku mida ya saa 4 kuelekea Dodoma halafu ulete mrejesho...Ajali ni nyingi Dodoma siku hizi.
Itakuwa ndo tatizo lilipo.Barabara ya Dodoma Morogoro wakati wa usiku mkubwa ni hatari sana,kwa madereva wanaosafiri njia ile watakuwa wananielewa,kwanza kuna sehemu kubwa sana haina michoro ya mistari,katikati wala pembeni,njia imezama sehemu nyingi sana,pia kuna vishimo vya kustukiza (pot holes) nyingi na madereva wa mabasi au malori wengi wao huwa wanawasha full light ambapo hata ukiwasha zako ili kuwastua huwa hawajali,kama huamini tokea Morogoro usiku mida ya saa 4 kuelekea Dodoma halafu ulete mrejesho...
Pumzika kwa amani kaka Maiga. Wana Mzumbe watakukumbuka enzi ulivyokuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi.
Poleni sanaNi mtoto wa mnyonge mwenzako tu huyo ticha. Dingi yake alikuwa copolo wa polisi kituo X wakati ule mzee wangu alikuwa afisa mtendaji kata hiyo.
Nimevua nae sana samaki pale ziwani, tumefukuzwa ada pamoja, baadae akafaulu kwenda secondari Mimi nikafeli.
Baba yake akawa amehamia kituo kingine akanitagutia nafasi huko nami nikarudia kibashite system.
Nipo hapa msibani nyumbani kwake kisesa. Mazishi j3 kwa mwalimu.
Hahaha jogi siyo mtu mzuri.Duh...!.
P