RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,890
- 129,941
Siasa ndio zilipotufikisha hapa.Majanga kama haya sio ya kufanyia mzaha tumieni akili,acheni utoto.
Siasa ndio zilipotufikisha hapa.Majanga kama haya sio ya kufanyia mzaha tumieni akili,acheni utoto.
Pascal Njaa..Rip , hii nafasi ya DAS naomba Mh John pombe Magufuli umpatie Pascal Mayalla
Duh...!.Pascal Mayalla changamkia "dili" Andika article moja matata ya kumsifia magu.
Usione soni kujikomba😁😁
huyu posti hii hii inamfaa ya kuongeaRip , hii nafasi ya DAS naomba Mh John pombe Magufuli umpatie Pascal Mayalla
Ndio upuuzi na utoto wenyewe huu.Wivu tu basi wakupe wewe Lumumba buku saba
Safari za kwenda huko haziishi kutokana na shuguli,Ajali ni nyingi Dodoma siku hizi.
Ndio upuuzi na utoto wenyewe huu.
Kuwa na ubinadam mzee hii syo kauli nzuriHivi hawa madc maa ded ambao ni makada wa ccm hufa??? Hivi nao hufa na kuoza!????? Nafikiri Mungu atakua kakosea sana
Duh...!.
Thanks for thisMajanga kama haya sio ya kufanyia mzaha tumieni akili,acheni utoto.
Mkuu u DAS si hadhi yako. Mi nakuombea makubwa zaidi.Duh...!.
Asante.
P
Hassan Ngoma ameshakumbukwa tayari.Meko atateua DAS mwingine leo n kweli tunaomba hii nafasi apewe Paskali.
Kafight kam jerry muro
Mzaha anafanya Nani uyu aliemuombea nafasi Mayalla au yule atakae teua mtu kukaimu nafasi ata kabla ya mazishi ya marehemu DASMajanga kama haya sio ya kufanyia mzaha tumieni akili,acheni utoto.
AaaminPole zake saana Shemeji na watoto..... Jamaa kafariki kabla ya kuanza kuyafurahia matunda.
Allah ampunguzie adhabu.
Watu Watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya Gari mbili kugongana mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Ajali hiyo pia imesababisha majeruhi kadhaa akiwemo Mbunge wa Handeni Mhe.Omary Abdallah Kigoda.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Dodoma SACP Gilles Muroto amethibisha.
ITV BreakingNews
View attachment 1503466View attachment 1503467