Dodoma: Ajali yaua Watatu akiwemo DAS Handeni

Dodoma: Ajali yaua Watatu akiwemo DAS Handeni

Ajali zimekisiri sana maeneo ya dodoma kulikoni au ndio kafara zenyewe
Sio kafara.Kwanza Dodoma ni makao makuu ya nchi hivyo mwingiliano wa watu ni mkubwa sana siku hizi,hasa wingi wa magari.

Pia usisahau barabara kuu kwenda mikoa na nchi za jirani inapita hapa Dodoma.

Hivyo umakini mkubwa sana wa madereva unahitajika.

Vinginevyo ni majanga kama haya ya ajali yanayojitokeza.

Kwa hiyo kijana wangu usiwaze mambo ya makafara,bali laumu umakini wetu watumiaji wa vyombo vya moto barabarani.

Tusipotoshane!!!
 
Bora kafa na afe tu na huyo aliyewekwa hapo general hospital jifanyeni mko weekend. Wajinga sana. Manina wakufe tu ccm manina zao
Ni mtoto wa mnyonge mwenzako tu huyo ticha. Dingi yake alikuwa copolo wa polisi kituo X wakati ule mzee wangu alikuwa afisa mtendaji kata hiyo.

Nimevua nae sana samaki pale ziwani, tumefukuzwa ada pamoja, baadae akafaulu kwenda secondari Mimi nikafeli.

Baba yake akawa amehamia kituo kingine akanitagutia nafasi huko nami nikarudia kibashite system.

Nipo hapa msibani nyumbani kwake kisesa. Mazishi j3 kwa mwalimu.
 
Nakumbuka Hassan Ngoma alivyokuwa anamuhoji huyu DAS kuhusu namna ya kuteuliwa, akamwambia uteuzi hautafutwi utavaa kaunda suti mpaka uchoke, kikubwa uadilifu na uchapakazi system itakuona tu. Verry sad R.I.P​
 
Ni mtoto wa mnyonge mwenzako tu huyo ticha. Dingi yake alikuwa copolo wa polisi kituo X wakati ule mzee wangu alikuwa afisa mtendaji kata hiyo.

Nimevua nae sana samaki pale ziwani, tumefukuzwa ada pamoja, baadae akafaulu kwenda secondari Mimi nikafeli.

Baba yake akawa amehamia kituo kingine akanitagutia nafasi huko nami nikarudia kibashite system.

Nipo hapa msibani nyumbani kwake kisesa. Mazishi j3 kwa mwalimu.
Poleni
 
Mkuu hizo gari ulizotaj hapo ni left handers??.

Maana kwa maelezo ya dereva hapo mbunge ambaye ni boss alikaa upande wa kulia pamoja na marehemu.
Ila iko namna maana inaonesha dereva wa hio gari aliinyooshea basi mazima baada ya kumpiga taa akaitolea pembeni kidogo maana ilikuwa kwenye corner.

Hatuwezi jua mazingira yalikuwaje maana kwenye corner huenda upande wa pembeni ni korongo ngumu kwa dereva kuitoa aitupe gari kwenye korongo.
 
Mpwaaa Hyo mashine inaitwa Toyota Sequoia ni chuma balaa
Halafu ni LHD
 
Hii gari inaonyesha ni Landrover discovery 3 or 4 automatic alikutana na kitu lazima maana rim na tairi bado nzima
Umekarirri mzee hii Toyota Sequoia ni chuma balaakuliko hata hyo discovery yako
 
Mpwaaa Hyo mashine inaitwa Toyota Sequoia ni chuma balaa
Halafu ni LHD
Muroto anasema Toyota Land Cruiser nikawa nashangaa, kamanda ameyumba vipi maana tail lights sio za Landcruiser kabisa. Sequoia bonge la dude kubwa kama ford expedition tu!
 
Muroto anasema Toyota Land Cruiser nikawa nashangaa, kamanda ameyumba vipi maana tail lights sio za Landcruiser kabisa. Sequoia bonge la dude kubwa kama ford expedition tu!
Mam.ae land cruiser wapiii chuma hyo ni 4.7 liters V8,240hp
 
Back
Top Bottom