Dodoma: 56% ya watoto umri chini ya miaka mitano wamedumaa

Jaman 56% ni kubwa sana kwa mkoa ni hali ya hatari na inahitaji hatua za dhalula hiyo hali si nzuri kwa wataalam wa lishe au wanajua jua umuhimu wa lishe wanajua, hali ni tete, Hivi MWENGE umeshindwa kuleta hayo mabadiliko?
 
5. Ngome kuu ya CCM hii ni sababu nyingine (pamoja na kuwa imeweza kumtoa malechela,balozi lusinde ,simbachawene na ndugai ambawe wangeweza kisimama kidete kupunguza hilo tatizo)

Mkuu serikali ipo makini sn na mkoa wa dodoma km kambi yao kisiasa na ndo mana imewajengea Mirembe km sehem ya shukran.
 
Idodomya pakavu sana, sishangai hali hiyo kuwakuta watoto.
 
Wanaombaomba chakula kwenye shule za bweni..yaani wanaokota ata cha chini..kwakweli dodoma na masikini sana jamani..ccm waokoeni
 
Amini usi Amini... :~

SS Bakhressa tajiri pekee anaeweza kuilisha Dodoma na wakazi wake wote....!!! (ati oooh, halipi kodi) TZ bhana !!
 
Huu mkoa inabidi usaidiwe iyo 56% baada ya miaka 20 dodoma nzima itakuwa na mitindio
 
Hili sio swala la kulaumu CCM tu, ni swala linaanzia chini sana kwa wazazi wenyewe, wantanzania hawana elimu ya lishe bora, wamama wajawazito wengi bado wako primitive na utakuta wanacheza na dawa za kienyeji ambazo hazijapimwa wakiamini za hospitalini zina madhara. This kind of thinking imejaa sana Tanzania ndio maana magonjwa yamejaa kila kona hasa ya malnutrition.
 
Mkuu serikali ipo makini sn na mkoa wa dodoma km kambi yao kisiasa na ndo mana imewajengea Mirembe km sehem ya shukran.

Haaahaaa hakiyanini! Kama mtu ataka kujua utamu wa ccm aujue kupitia dodoma, yaani Ngome kuu hali ya afya watoto 56% wana utapiamlo ulio komaa yani sugu.....aibu sana kwa malechela na genge lote la viongozi toka ccm. Na ndomana wenyeji hawasikii hawaambiwi juu ya ccm, yani dodoma isingekua na wageni waliohamia sijui ungejua mkoa wa aina gani, pale udom sijui hata kama kuna asilimia 3 ya wenyeji maana kama ndo hali hiyo akili watatolea wapi Ndomana Lemutuz yupo vile aisee, hali ni mbaya kweli ccm inajua kutengeneza mazingira ya kumtawala mtu.
 
Huu mkoa inabidi usaidiwe iyo 56% baada ya miaka 20 dodoma nzima itakuwa na mitindio

walishajua hilo ndomana MILEMBE ipo huko na makao makuu ya ccm yapo huko na bunge wameweka huko pia kwa wasiojielewa vizuri kutokana na utapia mlo.
 
Haaahaaa hakiyanini! Kama mtu ataka kujua utamu wa ccm aujue kupitia dodoma, yaani Ngome kuu hali ya afya watoto 56% wana utapiamlo ulio komaa yani sugu.....aibu sana kwa malechela na genge lote la viongozi toka ccm. Na ndomana wenyeji hawasikii hawaambiwi juu ya ccm, yani dodoma isingekua na wageni waliohamia sijui ungejua mkoa wa aina gani, pale udom sijui hata kama kuna asilimia 3 ya wenyeji maana kama ndo hali hiyo akili watatolea wapi Ndomana Lemutuz yupo vile aisee, hali ni mbaya kweli ccm inajua kutengeneza mazingira ya kumtawala mtu.

Mkuu ukitaka kujua dodoma vichwan wana tatizo la msingi angalia le mutuz,baba le mutuz,muwakilishi wao Lusinde,ndugai,simbachawene,nkamia,kova,Lubuva utagundua kitu,km hawa ndo watu wanaiwakilisha dodoma kitaifa wanatembelea akili za kulalia sembuse hao bata wengine...
 
Haaaahaaaahaaa! ni kweli kabisa yani hao watu ukiona mambo yao ndio wanawakilisha dodoma, Ndomana ccm wakaweka makao makuu dodoma wao wako dar. na bado wenyeji wanaridhika kwa kanga na t shirt maana ndio upeo wao ulipo ishia
 
Ni hatar sn ukiona familia panakucha inajipanga kwenda kuomba wote baba,mama na watoto yani hawafikiri kwa namna tofaut,awali nilidhani Mirembe imejengwa pale kwa kua ni katkat ya nchi hivo ni rahisi kufikika toka pande zote kumbe walizingatia mahitaji halisi ya wenyeji wakaona wawasogezee huduma karibu.
 
Udumavu wa akili kwa watu wa Dodoma umewafanya hawajui hata kudai haki zao za msingi kama afya,maji na Elimu nk.
Tatizo wamezoe kula mlo mmoja kwa siku wa ugali na majani pori ya mlenda na matunda yao ngweru ya msimu wa sherehe za manyani au ngedere.
Wagogo wanatamba kwa ushirikina na kuuza

kama ni elimu UDOM ipo wapi
 
Namchukia Kikwete kwa kuwa ana mchango katika hili.Akafungwe tu kwa kweli.
Nimeona kupitia taarifa ya habari ITV wakizungumzia juu ya hali za watoto mkoani Dodoma kuwa kwa sasa 56% ya watoto wote umri chini ya miaka 5 wamedumaa.
kiuhalisia mtoto anapodumaa ni wazi kuwa atakuwa na upungufu wa kiakili na kimwili na makuzi yake yatakuwa katika hali hiyo je ni kizazi cha aina gani kinachotengenezwa huko? je hawa tunaowaona kwa sasa ni watu wazima sio na wao wamekuwa katika hali hiyo?

Tuangalie sifa za Dodoma kama ninavyoziandika hapa chini:-

1. WABUNGE WOTE NI KUTOKA CCM
2. MADIWANI WOTE NI KUTOKA CCM
3. WENYEVITI VITONGOJI ZAIDI YA 95% NI CCM
4. WENYEVITI WA VIJIJI ZAIDI YA 95% NI CCM
5. MAKAO MAKUU YA TANZANIA NI DODOMA
6. MAKAO MAKUU YA CCM NI DODOMA

kwa sifa hizi ni wazi wanaowasababishia hali hiyo ni hao hapo juu.

Ndio utashangaa mtu ana miaka 40 lkn ana akili ya mtoto wa miaka 20
 
Ni hatar sn ukiona familia panakucha inajipanga kwenda kuomba wote baba,mama na watoto yani hawafikiri kwa namna tofaut,awali nilidhani Mirembe imejengwa pale kwa kua ni katkat ya nchi hivo ni rahisi kufikika toka pande zote kumbe walizingatia mahitaji halisi ya wenyeji wakaona wawasogezee huduma karibu.

Teh teh teh hali ya Dodoma ni janga aisee
 
Back
Top Bottom