MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,719
- 21,954
Sana, tena sanaIla Diana alikua mzuri tuache utani
Sana, tena sanaIla Diana alikua mzuri tuache utani
Waarabu hawawezi kuifanya dunia salama kamweDodi (mtoto wa Mmiliki wa Fulham United) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa Uingereza, Prince William angekuwa na ndugu wanaechangia Mama tokea nje ya Uingereza. Hakika dunia ingekuwa mahali salama pa kuishi. No more threats yaani ni full peace.
Acha uongo wewe,hakuna timu inaitwa Fulham United,Wala Dodi si mtoto wa mmiliki wa Fulham fcDodi (mtoto wa Mmiliki wa Fulham United) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa Uingereza, Prince William angekuwa na ndugu wanaechangia Mama tokea nje ya Uingereza. Hakika dunia ingekuwa mahali salama pa kuishi. No more threats yaani ni full peace.
Tuma salamu kwa watu watatu!Acha uongo wewe,hakuna timu inaitwa Fulham United,Wala Dodi si mtoto wa mmiliki wa Fulham fc
Bali aliyewahi kuwa mmiliki wa Fulham ni bwn Mohamed Al Fayed,baba wa Dodi,muingereza mwenye asili ya Misri mmiliki wa maduka ya Harrods,ambaye kipindi Cha kifo Cha Dodi na Dianna hakuwa mmiliki wa Fulham
Mmiliki wa Sasa wa Fulham ni Sajjad Khan, muingereza mwenye asili ya Pakistan
Kila kitu kilikuwa kigumu kwa Princess Diana wakati ule.
Mume anachepuka humu humu kwenye kasri.
Huwezi kutoka kwenda kuolewa huko uarabuni.
Ilifikia akawa anakulwa na mwalimu wake wa farasi.
Ila kuna vitu huwezi zuia, especially nyegezi
InawezekanaInasadikika prince charles hakua anampenda ila walimtafutia mwanamke wa kuoa tena kwa lazima ndio akapatikana diana
Ahsante mkuu kwa kurekebisha makosa hapo juu. Pia kuna baadhi ya makosa madogo umefanya katika majina na uraia wa muhusika.Acha uongo wewe,hakuna timu inaitwa Fulham United,Wala Dodi si mtoto wa mmiliki wa Fulham fc
Bali aliyewahi kuwa mmiliki wa Fulham ni bwn Mohamed Al Fayed,baba wa Dodi,muingereza mwenye asili ya Misri mmiliki wa maduka ya Harrods,ambaye kipindi Cha kifo Cha Dodi na Dianna hakuwa mmiliki wa Fulham
Mmiliki wa Sasa wa Fulham ni Sajjad Khan, muingereza mwenye asili ya Pakistan
Bilionea Mohamed Ibrahim au kama wao wanavyopenda kumuita Mo Ibrahim ni Mwingereza mwenye asili ya Sudan kww kuzaliwa na si Egypt.Egyptians wametajirika UK kwa wingi. Sijui Siri Ni nn? Mo Ibrahim, Mohamed Al Fayed, Mo Salah! Sisi wakinga wameridhika na Kariakoo.
Hamna mambo yenu ya gender tena William anaandaliwa Kuchukua mikoba ya Baba yake.Duh ! Dunia inakwenda kasi sana. Ni juzi juzi tuu habari za mahusiano na kifo cha diana vilipamba moto, leo William anaonekana mzee mkongwe kweli kweli.
Natabiri huyu jamaa anaonekana na misongo ya kufa mtu na hawezi kumaliza ufalme wake ,atang'atuka kama babu yake Edward III na dada yake atatawazwa kuwa malkia. Ukoo huo ambao siuelewi maana wawe wa ujombani wanaongoza ila wanawake wanaonekana wapo imara zaidi ya wanaume
Huyo Malkia alikuwa mtawala wa Tanganyika 1961 - 1962.. so kuna kauhusiano hapo.Huyo kijana si kaoa binti yetu, tumefiwa na bibi mkwe, Wewe vipi uko dunia gani?
Kuliko mkeoIla Diana alikua mzuri tuache utani
Weka nyama kidogoDiana nafikiri alikuwa na pepo la ngono. Kuna uwezekano mkubwa Harry siyo mtoto wa Charles.
Ni kwel,kalipenda kugonoka sana,sjui kwa vile hakakuwa na kazi ngumu na muda wote ni kula tuDiana nafikiri alikuwa na pepo la ngono. Kuna uwezekano mkubwa Harry siyo mtoto wa Charles.
Alianza kutembea na mlinzi wake. Hadi mlinzi akahamishwa kutengo na kusemekana kuuwawa baadaye. Tena akaanza kutembea na mwalimu wa kufundisha habari za farasi. Baada ya kuachana ndiyo kaanza na huyo Dodi.Weka nyama kidogo
Kiufupi aliigawa Sana papuchi yakeAlianza kutembea na mlinzi wake. Hadi mlinzi akahamishwa kutengo na kusemekana kuuwawa baadaye. Tena akaanza kutembea na mwalimu wa kufundisha habari za farasi. Baada ya kuachana ndiyo kaanza na huyo Dodi.
Inaonyesha alikua kicheche Sana,Diana.Kila kitu kilikuwa kigumu kwa Princess Diana wakati ule.
Mume anachepuka humu humu kwenye kasri.
Huwezi kutoka kwenda kuolewa huko uarabuni.
Ilifikia akawa anakulwa na mwalimu wake wa farasi.
Ila kuna vitu huwezi zuia, especially nyegezi