Outsiders
Member
- Apr 22, 2024
- 26
- 33
Hii inashangaza sana mambo ya masilahi kama Miundo ya mishahara utasikia anaetajwa ni Doctor,, ikitokea jambo la kuvulunda utasikia Nurse kafanya lawama zote zinatolewa hapo, utasikia na vikao vya baraza 🤔🤔
Viongozi badilikeni hakuna alieenda shule kucheza tu.
Viongozi badilikeni hakuna alieenda shule kucheza tu.