mujunimunu
Member
- Jan 27, 2011
- 10
- 1
KWA WALE WENYE MATATIZO YA UZAZI... |
Sunday, 26 September 2010 19:26 |
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 31, niliolewa na nimekaa miaka 10 bila kupata mtoto, nilihangaika sana hospitalini na mpaka nje ya nchi nimeenda, lakini sikufanikiwa, from nowhere nikakutana na mtu mmoja hatukuwa close basi tu sijui ilikuwaje tukasalimiana na kujuliana hali za siku nyingi akaniuliza kama mpaka dk ile kama nilikuwa na mtoto basi nikamuambia bado. ilikuwa ni story ndefu mpaka tukafikia akaniintroduce kwa kaka mmoja ambae amenisaidia nimepata mtoto, mtoto wangu ana mwaka mmoja sasa, na zaidi ya hapo nimeshapelekea wadada watatu nao wote sasa ni wajawazito. Ghalama zake ni nafuu kwangu mimi nimeona ni bure sababu nilikuwa nahitaji sana mtoto. Ningependa kwa wale wenzangu ambao hawajapata wawahi mapema kusema kweli maisha ya kuolewa na kukaa bila mtoto kwa kipindi kilefu hasa kwa nchi za africa sio maisha ya kuexperiense hata kidogo hapo nimeongea kiutu uzima nafikiri mmnielewa. haya Number hizi hapa chini 0784815244, 0713923434, 0754815244 ukimkosa huyu mtafute huyu wako pamoja 0713 423897,0784462089 nawatakia kila la kheri ndugu zangu |
Mwenzako amesema anataka daktari bingwa na jina la hospitali sio "mkaka" ambaye nafikiri ni mganga wa kienyeji!Samahani kwa kuleta story hii nimeiweka hapa chini nahisi yaweza kuwa msaada......Jitahidi na Mungu atakusaidia
KWA WALE WENYE MATATIZO YA UZAZI...
Sunday, 26 September 2010 19:26
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 31, niliolewa na nimekaa miaka 10 bila kupata mtoto, nilihangaika sana hospitalini na mpaka nje ya nchi nimeenda, lakini sikufanikiwa, from nowhere nikakutana na mtu mmoja hatukuwa close basi tu sijui ilikuwaje tukasalimiana na kujuliana hali za siku nyingi akaniuliza kama mpaka dk ile kama nilikuwa na mtoto basi nikamuambia bado. ilikuwa ni story ndefu mpaka tukafikia akaniintroduce kwa kaka mmoja ambae amenisaidia nimepata mtoto, mtoto wangu ana mwaka mmoja sasa, na zaidi ya hapo nimeshapelekea wadada watatu nao wote sasa ni wajawazito.
Ghalama zake ni nafuu kwangu mimi nimeona ni bure sababu nilikuwa nahitaji sana mtoto.
Ningependa kwa wale wenzangu ambao hawajapata wawahi mapema kusema kweli maisha ya kuolewa na kukaa bila mtoto kwa kipindi kilefu hasa kwa nchi za africa sio maisha ya kuexperiense hata kidogo hapo nimeongea kiutu uzima nafikiri mmnielewa. haya Number hizi hapa chini
0784815244, 0713923434, 0754815244 ukimkosa huyu mtafute huyu wako pamoja 0713 423897,0784462089 nawatakia kila la kheri ndugu zangu
kama hayo unayoyasema ni kweli basi tumshukuru Mungu, na amjaaliye mwanao uliyempata makuzi mame aje awe msaada kwa wengine.Samahani kwa kuleta story hii nimeiweka hapa chini nahisi yaweza kuwa msaada......Jitahidi na Mungu atakusaidia
KWA WALE WENYE MATATIZO YA UZAZI...
Sunday, 26 September 2010 19:26
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 31, niliolewa na nimekaa miaka 10 bila kupata mtoto, nilihangaika sana hospitalini na mpaka nje ya nchi nimeenda, lakini sikufanikiwa, from nowhere nikakutana na mtu mmoja hatukuwa close basi tu sijui ilikuwaje tukasalimiana na kujuliana hali za siku nyingi akaniuliza kama mpaka dk ile kama nilikuwa na mtoto basi nikamuambia bado. ilikuwa ni story ndefu mpaka tukafikia akaniintroduce kwa kaka mmoja ambae amenisaidia nimepata mtoto, mtoto wangu ana mwaka mmoja sasa, na zaidi ya hapo nimeshapelekea wadada watatu nao wote sasa ni wajawazito.
Ghalama zake ni nafuu kwangu mimi nimeona ni bure sababu nilikuwa nahitaji sana mtoto.
Ningependa kwa wale wenzangu ambao hawajapata wawahi mapema kusema kweli maisha ya kuolewa na kukaa bila mtoto kwa kipindi kilefu hasa kwa nchi za africa sio maisha ya kuexperiense hata kidogo hapo nimeongea kiutu uzima nafikiri mmnielewa. haya Number hizi hapa chini
0784815244, 0713923434, 0754815244 ukimkosa huyu mtafute huyu wako pamoja 0713 423897,0784462089 nawatakia kila la kheri ndugu zangu k
Au nenda Agakhan kamtafute Dr Shafiq!
Nenda kwa prof mgaya pale Mbuyuni ni wa muhimbili anaclinic yake pale. Au nenda Tumaini Hospital umtafute Dr Kapona. Mungu akutangulie na kukupa unachoomba.
Nenda kwa prof mgaya pale Mbuyuni ni wa muhimbili anaclinic yake pale. Au nenda Tumaini Hospital umtafute Dr Kapona. Mungu akutangulie na kukupa unachoomba.
Regency Dr ChetahShukran kwa uzi huu. Nimepata ufumbuzi wa kile nilichokuwa nikitafuta. Je, wapo pia madaktari bingwa wa magonjwa haya wanawake?
Mbarikiwe.
Shukran Mkuu. Unaweza share contacts kama zipo?Regency Dr Chetah