Doctor bingwa wa mambo ya uzazi

mujunimunu

Member
Jan 27, 2011
10
1
wakuu, mimi na mkw wangu tumekuwa tukitafuta mtoto kwa mwaka wa pili sasa blila ya mafanikio. Tunafikiria kuonana na dactari atakaye tushauru nini cha kufanya pamoja na kutupima. Msaada wa jina la dactari na hospitali anapopatikana.
 
Samahani kwa kuleta story hii nimeiweka hapa chini nahisi yaweza kuwa msaada......Jitahidi na Mungu atakusaidia

KWA WALE WENYE MATATIZO YA UZAZI...

Sunday, 26 September 2010 19:26

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 31, niliolewa na nimekaa miaka 10 bila kupata mtoto, nilihangaika sana hospitalini na mpaka nje ya nchi nimeenda, lakini sikufanikiwa, from nowhere nikakutana na mtu mmoja hatukuwa close basi tu sijui ilikuwaje tukasalimiana na kujuliana hali za siku nyingi akaniuliza kama mpaka dk ile kama nilikuwa na mtoto basi nikamuambia bado. ilikuwa ni story ndefu mpaka tukafikia akaniintroduce kwa kaka mmoja ambae amenisaidia nimepata mtoto, mtoto wangu ana mwaka mmoja sasa, na zaidi ya hapo nimeshapelekea wadada watatu nao wote sasa ni wajawazito.
Ghalama zake ni nafuu kwangu mimi nimeona ni bure sababu nilikuwa nahitaji sana mtoto.
Ningependa kwa wale wenzangu ambao hawajapata wawahi mapema kusema kweli maisha ya kuolewa na kukaa bila mtoto kwa kipindi kilefu hasa kwa nchi za africa sio maisha ya kuexperiense hata kidogo hapo nimeongea kiutu uzima nafikiri mmnielewa. haya Number hizi hapa chini

0784815244, 0713923434, 0754815244 ukimkosa huyu mtafute huyu wako pamoja 0713 423897,0784462089 nawatakia kila la kheri ndugu zangu

Mwenzako amesema anataka daktari bingwa na jina la hospitali sio "mkaka" ambaye nafikiri ni mganga wa kienyeji!
Ushauri wangu wa dhati kwako ndugu unayetafuta mtoto ni kuwa nenda ukaombewe,Mungu ndio muweza wa yote!
 
pole kwa matatizo uliyonayo, mungu ni mwema ipo siku utafanikiwa

kuhusu ushauri wa kutafuta hao wakaka sio mzuri, ni kama waganga wa kienyeji

ni bora upate docta mzuri na kumkabidhi mungu kwakuwa hashindwi na jambo lolote,

mara nyingi watoto wanaotokana na waganga sio wazuri wanamasharti ambayo hutaweza
kuyatimiza maisha mwako, mbaya zaidi ni kama watoto wa kipepo, so be aware ndugu,

amini kila jambo linawezekana kwa mungu,

mungu akutie nguvu,
 
Samahani kwa kuleta story hii nimeiweka hapa chini nahisi yaweza kuwa msaada......Jitahidi na Mungu atakusaidia

KWA WALE WENYE MATATIZO YA UZAZI...

Sunday, 26 September 2010 19:26

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 31, niliolewa na nimekaa miaka 10 bila kupata mtoto, nilihangaika sana hospitalini na mpaka nje ya nchi nimeenda, lakini sikufanikiwa, from nowhere nikakutana na mtu mmoja hatukuwa close basi tu sijui ilikuwaje tukasalimiana na kujuliana hali za siku nyingi akaniuliza kama mpaka dk ile kama nilikuwa na mtoto basi nikamuambia bado. ilikuwa ni story ndefu mpaka tukafikia akaniintroduce kwa kaka mmoja ambae amenisaidia nimepata mtoto, mtoto wangu ana mwaka mmoja sasa, na zaidi ya hapo nimeshapelekea wadada watatu nao wote sasa ni wajawazito.
Ghalama zake ni nafuu kwangu mimi nimeona ni bure sababu nilikuwa nahitaji sana mtoto.
Ningependa kwa wale wenzangu ambao hawajapata wawahi mapema kusema kweli maisha ya kuolewa na kukaa bila mtoto kwa kipindi kilefu hasa kwa nchi za africa sio maisha ya kuexperiense hata kidogo hapo nimeongea kiutu uzima nafikiri mmnielewa. haya Number hizi hapa chini

0784815244, 0713923434, 0754815244 ukimkosa huyu mtafute huyu wako pamoja 0713 423897,0784462089 nawatakia kila la kheri ndugu zangu
k

kama hayo unayoyasema ni kweli basi tumshukuru Mungu, na amjaaliye mwanao uliyempata makuzi mame aje awe msaada kwa wengine.
Hata hivyo naomba niulize hivi ni kweli daktri mzuri atatangazwa kupitia hapa jamii forum? Hivi mnafahamu kwa sheria za madaktari ni kosa kumtangaza hata awe bingwa kiasi gani waweza sababisha afutiwe leseni!
Halafu mnakumbuka kale kamchezo, upo zako unatembea barabarani umejichokea mara mtu anaangusha burungutu la pesa, mara mwingine kaliokota, mara utasikia twende tukagawane.........................
Au umejikalia zako mara anatokea mtu anaanza kukusalimia ati anakujua, kabla hujamwelewa anatokea mwingine wa pili. Halafu yule wa kwanza anaanza woo huyu alinisaidia sana wakati fulani!! hata wewe anaweza kusaidia.....................mwishowe...........
Lakini nimejisema tu
 
Nenda kwa prof mgaya pale Mbuyuni ni wa muhimbili anaclinic yake pale. Au nenda Tumaini Hospital umtafute Dr Kapona. Mungu akutangulie na kukupa unachoomba.
 
Asante Kwa kunipa haya majina, ni msaada mkubwa kwangu.
 
Nenda kwa prof mgaya pale Mbuyuni ni wa muhimbili anaclinic yake pale. Au nenda Tumaini Hospital umtafute Dr Kapona. Mungu akutangulie na kukupa unachoomba.

Mujunimunu naomba ufuate ushauri wa Nyangau umtafute Dr Kapona...sina namba yake ya simu lakini anapatikana kila siku pale Tumaini hospital Upanga. Yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama na amefanya PhD yake katika mambo hayo ya infertility.
 
Shukran kwa uzi huu. Nimepata ufumbuzi wa kile nilichokuwa nikitafuta. Je, wapo pia madaktari bingwa wa magonjwa haya wanawake?

Mbarikiwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom