fasi dwasi
R I P
- Sep 23, 2018
- 105
- 98
ilikuwa Pnemonia ndio ilikuwa inasababisha kukohoa kidogo kutokana na kubana kwa pumzi lakini nilipoitibu sikohoi tena na nmeanza dozi ya TB.
Hivi kuna uwezekano wa kuwa na TB halafu usipate kikohozi kabisa jamani?
Nina mashaka because hata siku ya kupima kikohozi ilishindikana kupatikana wakatumia judgements nyingine tu za dalili.
Sent using Jamii Forums mobile app