Ushauri wa kitaalamu juu ya TB na Pnemonia

fasi dwasi

R I P
Joined
Sep 23, 2018
Posts
105
Reaction score
112
Hope mpo wazima wanajf

Ipo hivi..

Nilikuwa nasumbuliwa sana na tatizo la kifua upande wa upumuaji, kwa mazoea yangu basi nilihisi ni Asthma coz hyo ndio homa ambyo inanisumbua mara kwa mara na huwa nikimeza vidonge vinaitwa Amynophilin inatulia faster.

Sasa this time ajabu nilitumia mpaka zikaisha, nikanunua wapi mwisho wa siku niliikuta nafikia extent kwamba siwezi kukaa hata kutembea coz nikikaa chini nakohoa sana na nahema sana.

Nilikuja kuchukuliwa gheto nikiwa sijitambui baada ya kupiga simu home kuwa sijiwezi kwa lolote. Nilichukuliwa kikatili sana coz nilikuwa nahema juu juu mpaka nikahisi mapafu yananitoroka.

Nilipofika hospitali na kuongea na doctor na kufanyiwa Xray ilionekana ni PNEMONIA, nilichomwa sindano zile za kila baada ya masaa 6 na zingine baada ya hapo nilianza kujisikia fresh to the extent niliweza kupandisha floor mbili juu na kushusha ingawa ilikuwa ni shida lakini niliweza.

Nililazwa huku nikiwa naendelea na zile sindano nikazimaliza then niliruhusiwa na mpaka hiyo siku nilikuwa naweza kutembea mwenyewe kwa umbali mfupi.

Nilichukuliwa mpaka home but ajabu ni kwamba ile hali ya kuhema kwa shida ilirudi maana nilipewa antibiotics tu za siku 5 ambazo zilikuwa hazinisaidii.

Upumuaji ulikuwa ni wa shida sana kiasi kwamba ilibidi nimtafute yule doctor aliyenihudumia akanishauri nikapime TB na nilifanya hivyo nilikutwa na TB na nilianza dozi hapo hapo leo ni siku ya tatu.

Lakini bado siwezi kukaa wala kusimama pumzi inakata kwa kila jambo ninalofanya, nahema kwa shida, silali usingizi coz nilitaka kulala mwili unarelax halafu mfumo wa upumuaji haupo sawa kwahiyo ninaamshwa na kukohoa, sitoi kikohozi ni uteute tu ambao nauhisi kwa ndani.

Leo asubuhi niliwasiliana na doctor tena aliniambia maybe Pnemonia haijaisha na nikacheck uwingi wa damu, nilicheck ilikuwa 12/6 bac akasema nichomwe sindano zile za kila baada y masaa 6 najisikia vyema nikitumia zile dawa na ule ugumu katika upumuaji unapungua.

Nina siku zaidi ya 16 siwezi kulala kwa upande yaani hapa nipo kitandani natazama juu tu mbavu za pembeni siwezi kuzilalia na kila nikijaribu siwezi kabisa.

Kwa sasa naendelea na dawa ya TB ila hii hali mpaka sasa bado sijajiridhisha tatizo ni nin na nifanyaje, sawa naongea na doctors lakini naamini humu ndani JF kuna wataalamu wa kubwa sana ambao wanaweza kuwa msaada na kushauri jambo juu ya hili ili kuokoa maisha yangu.

HIV test ni Negative.

Nimeandika rafu sana na kwa ufupisho coz npo kwenye hali mbaya jamani.

Karibuni kwa ushauri watalaamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujaridhika kujua nikwan unapatwa naiyo shida ??

Unapatwa nahiyo shida sababu ya TB, moja ya Dalili pevu inayoashiria maambukizi mabaya ya TB ni Kifua pamoja na mbavu kuuma sana na Kuhisi kama Hewa haikutoshi ...

Kwann unahisi hewa haitoshi? Sababu Bacteria wameshayashambulia Mapafu kiasi kwamba Yamepunguza uwezo wake wa Kuingiza hewa mwilin. Kwaiyo mwili unashindwa kukidhi mahitaji yake ya Hewa, so lazima ...
Uchoke sanaaa
Kichwa kiume sanaaaaaa
Kikohozi kikali nyakat za usiku sababu umelala...
N.k .n.k

Unashangaa kwann unatumia Dawa lkn bado unazipata izo ??

Kwasababu unasiku Tatu tuu toka uanze kutumia, kumbuka hizi Dawa ni miezi sita hii inaonyesha Hawa wadudi kuathirika na Dawa inachukua muda.....ITAKUCHUKUA WIKI KADHAA NDIO SASA IZI DALILI ZITOWEKE...

Sababu mwanzo kile kikohozi ulikipuuza ukihisi ni asthma , ulifanya maambukizi yatoke hatua ya kwanza, yakavuka ya pili, nasasa umekuja gundulika ukiwa ni hatua ya mwisho ya maambukizi....... Kwaiyo hata Therapeutic effect ya Dawa itachukua muda .

KWA SASA ENDELEA KUTUMIA DAWA, FUATA MASHARITI.... Ukipata nafuu endelea kutumia mpaka umalize Dozi...ukiishia njiani utaumwa tena natena, ukiwa una kunywa kwa kubeep Wadudu watajitengenezea kinga yao dhidi ya Dawa ,so itakubidi ubadilishiwe Dawa na kuanza kutumia Dawa ambazo Hazina uhakika wa kuponyesha nabado zinamadhara makubwa....SO UTUMIE DAWA KAMA ULIVYOELEKEZWA.

ILA KUBWA ENDELEA KUCHUKUA JUHUDI ZA KUEPUSHA MAAMBUKIZI YA TB KWA NDUGU ,WANAFAMILIA, RAFIKI. MWANAMKE WAKO ,N.K !!
 
Doctor nashukuru sana tena sana na me nayachukua na kuyafuata uliyoyaandika yoote km yalivyo

Bt kwann sasa hii TB yangu haina na haikuwah kuonesha ile dalili ya kukohoa maana me hpa kikubwa kinachonsumbua sana mbavu kubana na kukosa pumzi. Mpaka hv sasa nahtajka kupeleka kohozi bt silipati nmeishia kupata yale malenda lenda tu

Nakohoa pindi ninapokuwa nmezidiwa na upumuaji bt kohozi halitoki

Hii inatoka na nn doctor au ntaanza kukohoa huko mbele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Af pia doctor cjaona ukiongelea impact y pneumonia ktk hili nikitumia zile sindano zake hyo hali inapungua kabsa ila nikimaliza daah we acha tu

npo kwny sindano tena kila baada y masaa 6 zinanisaidia na mpaka naanza kuhc hz ndio dawa pekee bt ni mara 4 tu af kuna antibiotics nmepewa

Sasa muingiliano wa TB na Pnemonia upo vp hpa?
Bado hujaridhika kujua nikwan unapatwa naiyo shida ??

Unapatwa nahiyo shida sababu ya TB, moja ya Dalili pevu inayoashiria maambukizi mabaya ya TB ni Kifua pamoja na mbavu kuuma sana na Kuhisi kama Hewa haikutoshi ...

Kwann unahisi hewa haitoshi? Sababu Bacteria wameshayashambulia Mapafu kiasi kwamba Yamepunguza uwezo wake wa Kuingiza hewa mwilin. Kwaiyo mwili unashindwa kukidhi mahitaji yake ya Hewa, so lazima ...
Uchoke sanaaa
Kichwa kiume sanaaaaaa
Kikohozi kikali nyakat za usiku sababu umelala...
N.k .n.k

Unashangaa kwann unatumia Dawa lkn bado unazipata izo ??

Kwasababu unasiku Tatu tuu toka uanze kutumia, kumbuka hizi Dawa ni miezi sita hii inaonyesha Hawa wadudi kuathirika na Dawa inachukua muda.....ITAKUCHUKUA WIKI KADHAA NDIO SASA IZI DALILI ZITOWEKE...

Sababu mwanzo kile kikohozi ulikipuuza ukihisi ni asthma , ulifanya maambukizi yatoke hatua ya kwanza, yakavuka ya pili, nasasa umekuja gundulika ukiwa ni hatua ya mwisho ya maambukizi....... Kwaiyo hata Therapeutic effect ya Dawa itachukua muda .

KWA SASA ENDELEA KUTUMIA DAWA, FUATA MASHARITI.... Ukipata nafuu endelea kutumia mpaka umalize Dozi...ukiishia njiani utaumwa tena natena, ukiwa una kunywa kwa kubeep Wadudu watajitengenezea kinga yao dhidi ya Dawa ,so itakubidi ubadilishiwe Dawa na kuanza kutumia Dawa ambazo Hazina uhakika wa kuponyesha nabado zinamadhara makubwa....SO UTUMIE DAWA KAMA ULIVYOELEKEZWA.

ILA KUBWA ENDELEA KUCHUKUA JUHUDI ZA KUEPUSHA MAAMBUKIZI YA TB KWA NDUGU ,WANAFAMILIA, RAFIKI. MWANAMKE WAKO ,N.K !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujaridhika kujua nikwan unapatwa naiyo shida ??

Unapatwa nahiyo shida sababu ya TB, moja ya Dalili pevu inayoashiria maambukizi mabaya ya TB ni Kifua pamoja na mbavu kuuma sana na Kuhisi kama Hewa haikutoshi ...

Kwann unahisi hewa haitoshi? Sababu Bacteria wameshayashambulia Mapafu kiasi kwamba Yamepunguza uwezo wake wa Kuingiza hewa mwilin. Kwaiyo mwili unashindwa kukidhi mahitaji yake ya Hewa, so lazima ...
Uchoke sanaaa
Kichwa kiume sanaaaaaa
Kikohozi kikali nyakat za usiku sababu umelala...
N.k .n.k

Unashangaa kwann unatumia Dawa lkn bado unazipata izo ??

Kwasababu unasiku Tatu tuu toka uanze kutumia, kumbuka hizi Dawa ni miezi sita hii inaonyesha Hawa wadudi kuathirika na Dawa inachukua muda.....ITAKUCHUKUA WIKI KADHAA NDIO SASA IZI DALILI ZITOWEKE...

Sababu mwanzo kile kikohozi ulikipuuza ukihisi ni asthma , ulifanya maambukizi yatoke hatua ya kwanza, yakavuka ya pili, nasasa umekuja gundulika ukiwa ni hatua ya mwisho ya maambukizi....... Kwaiyo hata Therapeutic effect ya Dawa itachukua muda .

KWA SASA ENDELEA KUTUMIA DAWA, FUATA MASHARITI.... Ukipata nafuu endelea kutumia mpaka umalize Dozi...ukiishia njiani utaumwa tena natena, ukiwa una kunywa kwa kubeep Wadudu watajitengenezea kinga yao dhidi ya Dawa ,so itakubidi ubadilishiwe Dawa na kuanza kutumia Dawa ambazo Hazina uhakika wa kuponyesha nabado zinamadhara makubwa....SO UTUMIE DAWA KAMA ULIVYOELEKEZWA.

ILA KUBWA ENDELEA KUCHUKUA JUHUDI ZA KUEPUSHA MAAMBUKIZI YA TB KWA NDUGU ,WANAFAMILIA, RAFIKI. MWANAMKE WAKO ,N.K !!
Mkuu ubarikiwe sana, ulimpambania mwamba sana sana.

Unforgetable
 
Back
Top Bottom