Doctor anadai nina TB na kanianzishia dawa ila sikohoi hata kidogo

fasi dwasi

R I P
Sep 23, 2018
105
98
ilikuwa Pnemonia ndio ilikuwa inasababisha kukohoa kidogo kutokana na kubana kwa pumzi lakini nilipoitibu sikohoi tena na nmeanza dozi ya TB.

Hivi kuna uwezekano wa kuwa na TB halafu usipate kikohozi kabisa jamani?

Nina mashaka because hata siku ya kupima kikohozi ilishindikana kupatikana wakatumia judgements nyingine tu za dalili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrapulmonary Tuberculosis ni aina ya TB ambayo haipatikani kwenye mapafu na mara nyingi haina dalili za kukohoa. Extrapulmonary tuberculosis inawezapatikana kwenye mifupa, lymph nodes, figo, utumbo, cenrtral nervous system na sehemu nyingine.
wamekuanzisha dozi kutokana na majibu ya maswali walio kuuliza.
 
Mkuu leo nmeamka nikiwa nakohoa sana na sikuwah kukohoa hta kidogo kabla y kuanza dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrapulmonary Tuberculosis ni aina ya TB ambayo haipatikani kwenye mapafu na mara nyingi haina dalili za kukohoa. Extrapulmonary tuberculosis inawezapatikana kwenye mifupa, lymph nodes, figo, utumbo, cenrtral nervous system na sehemu nyingine.
wamekuanzisha dozi kutokana na majibu ya maswali walio kuuliza.

Mwambie mgonjwa aeleze dalili zaidi ya kukohoa! Je anapata homa kali usiku?, je anapoteza hamu ya kula? Je amepoteza uzito kwa haraka? Je hivi karibuni amepima damu kuona kama ameambukizwa VVU?

Binafsi nina wasiwasi ikiwa mwandishi anazungumzia hali yake ama amechungulia tiba ya jirani yake flani.

#StopTB
 
ilikuwa Pnemonia ndio ilikuwa inasababisha kukohoa kidogo kutokana na kubana kwa pumzi lakini nilipoitibu sikohoi tena na nmeanza dozi ya TB.

Hivi kuna uwezekano wa kuwa na TB halafu usipate kikohozi kabisa jamani?

Nina mashaka because hata siku ya kupima kikohozi ilishindikana kupatikana wakatumia judgements nyingine tu za dalili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana mkuu mm mwenyew nilishapata TB sikuwahi kukohoa ata kidogo lkn tumbo lilikua linajaa maji na homa wakat wa usiku,nilipoenda Hindu Mandal kupima nikaambiwa nina TB nikaanza dozi iyo ilikua mwaka 2010.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom