Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,353
Hiyo inaitwa TB ascitesInawezekana mkuu mm mwenyew nilishapata TB sikuwahi kukohoa ata kidogo lkn tumbo lilikua linajaa maji na homa wakat wa usiku,nilipoenda Hindu Mandal kupima nikaambiwa nina TB nikaanza dozi iyo ilikua mwaka 2010.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli bashite jina lako unalitendea haki ipasavyoNdo Jina langu kabisa Hilo Tena la ukoo Co nyie mnajiita ita tuu majina yenu mnayoyajua
Sent using Jamii Forums mobile app