Do You Remember?


Nitaanza kuchaji kutumika kwa hili jina!

Naomba wewe utalipia kutangaza biashara yako hapa maana naona umepata mteja....lol

nilikuwa nawadanganya mpenzi.

Aiseeee!!!


Amen!
 
Ndugu yangu AD...kuna mtu nammiss na bahati mbaya sijamjua ni nani...kazi ninayo...
 
nimekutafuta juzi tucheze spanish guitar ukanichunia. Sijui nilie.
hawa Arsenal wananichanganya na kuniharibia mood juzi tumefungwa 4-3 na kati ya hayo 4 mawili tumejifunga wenyewe,weekend hii siangalii mpira friday-sunday ni Husninyo time,haya onyesha meno yako yote basi na zile dimples nizipendazo.
 
Kamanda, Hus, ADI na wote mliohuzuria sredi hii acheni nilog out bana, mida za kuwapa paka wa tajiri msosi zimefika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…