Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Mgonjwa wa lips eeeh? lol.... Basi you outa see ya ADI....
thou Frankly speaking ya Jolie ni Unique....
Movie gani wapenda yake na why?

The Tourist....
Basi tu pale Deep alivyokuwa hajielewielewi kwa yule mrembo na kujikuta kapewa mambo hahahahaha
poa ntaziona hzo zako tukianza pilika za vikao vya harusi ya moja kati ya wale mawifi zako!
 
Sasa nimekupata Kadakabikile...... Thank you.... nje ya hio kuna kitu/feature yako ambayo waikubali saana?

Yaah tena sio kimoja, vipo vingi sana ila kwa sasa nikupe moja tu. Napenda sana siku ile nitakapofungua file ambalo halijafunguliwa na mtu.
 
Tuu Tuu Tuu...yanatosha,mchape hadi ajue mateso yake....naomba nijulishe dawa yake pls sisy...I must win this race....lol
Nitakwambia, usijali. ukitumia anakua mdogoooo kama piriton.
But be careful, he attacks when cornered...
 

Habari wana JF…..
😛oa

Kuna ule msemo ama kasumba katika Jamii kua Mwanadamu inatakiwa asifiwe na sio kujisifia.... Sasa kutokana na adha na kero ambazo zipo zimetuzunguka zikiendeshwa na maisha yenyewe yalivo magum na Uongozi wa magulumashi, watu tumesahau kabisa kutoa sifa kwa wenzetu na wao kwetu (hasa tunapostahili); Kwa mktadha huo natoa nafasi ya kila mmoja atae jisikia ajidai/jisifu na kujikubali kwa lile ambalo hata yeye anaona anastahili kusifiwa.... Hivo basi NAKUULIZA ulopita hapa.....



Do you have guts??? Baaas "Brag" a bit!! lol


P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Ad....Nadhani mie nina ugonjwa wa kutoridhika.every thing i achieve naona bado kabisa hata kama kuna wengine wanaona nimefanikiwa.Lakn kuna vitu navitaka labda nikivipata hivo hata ntakuwa na moyo wa shukrani kwa Mungu na kuwa na guts za kurudi katika hii sredi.Otherwise Hongeren wote mlioweza!
btw mbona yako sijaona????
 
And ambitious you must be.Lucky you. Ningekuwa na cheti cha kuzaliwa cha hospitali ningebadilisha nijiite kama wewe ila haya majina ya kupewa na waganga hayabadiliki kwanza ni mwiko kayabadilisha.The boss am happy to have the same name as you though in two different forms of existence mine being JF only.

karibu saana...
 
You surely don‘t want to be tempted to fall for a guy u meet just on day 1,do you? I should save u from mental anguish and craving that are certain to ensue soon thereafter!!


Learned... My Man is a MAN..... A Man and nothing BUT a Man. Meeting you would have been out or curiosity for I have never seen a Man no other thana MY Man, And the question which was hanging in my mind was "could Learned atleast try to compete with this perfect wonderful Man of Mine?lol
 
Nitakwambia, usijali. ukitumia anakua mdogoooo kama piriton.
But be careful, he attacks when cornered...

Am waiting...don't take long :A S embarassed::A S embarassed:....am focused on winning, any attack will be taken as an opportunity....lol
 
Kwahiyo umeamua kuninyanyasa ehh??!
Hunijui , sikujui achana na mimi. Konnie atanisaidia source.

Hehehehe umeosha ehhh?!Mi urojo sijui hua nauonaje. .. hata kuonja tu HAPANA.

Pole, umenyanyasika eh? Namtafuta aliyeasisi huo msemo, amenijeruhi!
Imelazimika kujisifia. kwakweli nmeosha,
Ni mtamu ulojo, unaugwadugwadu flani hivi, mara ya kwanza nlkula uswazi bongo ila wa huku upo poa zaidi, sasa haunishibishi lol
 
Back
Top Bottom