Do you have a little time for me?

Do you have a little time for me?

umeona eeeh!
siku hizi ni kukimbizana tuuuuuuu, hata ladha ya kusikiliza maneno haipo

Kabisa... Ukisikiliaza wimbo huo collection zake hazikosagi kama Careless Whispers, Sacrifice, Baby can I hold you, Red Red wine na the like. Tena hizo zinafaa kabisa kwa siku ya kesho hasa ukiwa na hakika ya kushinda na mupenzi wote.. :becky:
 
Me too sio mpenzi, Mie nina marafiki wa kawaida tu ndio tunapendana kila siku, au marafiki wa kawaida sio ruhusa kwa valentine?? teh teh au mie mshamba?

Ruhsa kabisa! Ila ,i,i rafiki yangu wa kawaida ambae naishi nae anampeleka mpenzi wake out!
 
hahaha! Usiwe na wasi was FP, Ni mwali wangu huwa namfundisha masuala yote ya mama wa nyumbani. Sina hakika ya kuwa na mjomba wake kesho, hivo namuwahi walau tushinde wote kuepusha upweke... Lol
mimi nakuelewa rafiki, tatizo siku hizi hii dunia hawatuelewi......
kuna siku nilienda sehemu kununua junk food nikakuta wadada wawili nawafahamu nao wamekaa. nikadhani wanasubiria order yao, si nikaenda kuwajoin tupige story 2 3 tukisubiria. wakaniomba msamaha niwapishe maana wao walikuwa kwenye date.........
niliona aibu mimi ninayeambiwa, wao wenyewe wanaona kawaida tu, lol!
 
don't tell me wote hapo juu mpo single wakati mie kaka zangu wanasearch wadada wa kuwawowa,ujue muache masihala.
 
Huu hapa wimbo wa Dido, one of my fave artists.
Nawatakia wapendanao wote sikukuu njema kesho,
As we know mapenzi ni kila siku, sio tu Feb 14th
But as far as "sikukuu" goe, make this one special

Kwa wale ambao wanajifanya "too busy for love"
Niwatumia wimbo huu, please take time to read it.
There are people waiting for you out there, go to them
Don't say no to happiness, go for it while it's there.

Dido: Do you have a little time


If you're feeling low and lost today,
Probably doing to much again,
Spend all your hours just rushing around,
Do you have a little time for me.

Slow down my love you're confusing me,
If you're feeling stressed just try calling,
Spend your time waiting for anyone to see,
Do you have a little time for me.

If you should stop for a while,
You will find me standing by,
Over here, at the side of your life,
I'd like to hold you still,
Remind you of all you've missed,
If you have a little time, if you have a little time that is.

Why do you still run when you could walk with me,
Life will pass you by when you move this quickly,
What can you see when you're spinning around,
Do you have a little time for me.

If you should stop for a while,
You will find me standing by,
Over here, at the side of your life,
I'd like to hold you still,
Remind you of all you've missed,
If you have a little time, if you have a little time that is.

If you let me listen I'll make you feel clear,
Spend your time waiting for anyone to see.

If you should stop for a while,
You will find me standing by,
Over here, at the side of your life,
I'd like to hold you still,
Remind you of all you've missed,
If you have a little time, if you have a little time that is.

Thanks a lot huyu dada namkubali sana, ana wimbo wake mmoja unaitwa 'Thank you' naukubali sana
 
He he he, kalagha baho

Jitoe hata dinner mwenyewe na pochi yako na kiatu chako, treat ya self
Raha yangu ndio hiyo sasa, Kujibweteka mbele ya TV all alone!
Hayo ya kuulamba, marashi na viatu vya juu, kwenda out mi simo
 
tatizo tunapenda kung'ang'ania as if tumezaliwa nao tumbo moja wakat mmekutana mkishave mnakata viwembe kwa ukomavu wa mizuzu.
ha ha haaaa, lol!
umenichekesha sana rafiki......
si wanasemaga sitaweza kupenda tena, sijui huyo ulimpenda kabla hujamwona na kumpa nafasi......
 
mimi nakuelewa rafiki, tatizo siku hizi hii dunia hawatuelewi......
kuna siku nilienda sehemu kununua junk food nikakuta wadada wawili nawafahamu nao wamekaa. nikadhani wanasubiria order yao, si nikaenda kuwajoin tupige story 2 3 tukisubiria. wakaniomba msamaha niwapishe maana wao walikuwa kwenye date.........
niliona aibu mimi ninayeambiwa, wao wenyewe wanaona kawaida tu, lol!


Hahahaha! Mie tu umenisimulia naona aibu kwa niaba yako, Lol

Napiga picha hapa haitoki.... Hapa aje tu wifi King'asti aniambie yeye angefanya nini. Maana dunia inakoenda.. mmmh!
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaa, lol!
umenichekesha sana rafiki......
si wanasemaga sitaweza kupenda tena, sijui huyo ulimpenda kabla hujamwona na kumpa nafasi......

tena hao ndo hawamalizagi miaka walishatoa meno yote nje kwenye date nyingine,chezea healed wound ww.
 
don't tell me wote hapo juu mpo single wakati mie kaka zangu wanasearch wadada wa kuwawowa,ujue muache masihala.
Wengi ni single by choice mama...
 
Kabisa... Ukisikiliaza wimbo huo collection zake hazikosagi kama Careless Whispers, Sacrifice, Baby can I hold you, Red Red wine na the like. Tena hizo zinafaa kabisa kwa siku ya kesho hasa ukiwa na hakika ya kushinda na mupenzi wote.. :becky:
ha haaaa, kweli wewe mtaalamu....
kila la heri hiyo kesho
 
ha haaaa, kweli wewe mtaalamu....
kila la heri hiyo kesho

Kila la kheri nawe kwako FP, Kesho tunaitumia ipasavyo... Sio kwamba siku zote za mwaka we do not love, ila tu kesho tunatumia nguvu ya ziada katika kuoneshana na wapenzi wetu namna gani ni wa muhimu katika maisha yetu (hii wa wapendanao sio waigizao Lol).

That is to say kwa siku ya kesho, I hope by the time siku inaisha inakuwa one of your best katika mahusiano yako na shemeji. Mapenzi mema...
 
Back
Top Bottom