Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
teh hawanyanyuliki,ningekuwa na ungo labda?ha haaaa...... muda bado, jinyakulie mmoja
teh hawanyanyuliki,ningekuwa na ungo labda?ha haaaa...... muda bado, jinyakulie mmoja
Sie twapendana daily sasa valentine kwetu ni siku tu kama siku zingine, sijui wenzetu mnaonaje
It is a beautiful song kwa kweli,
Dada aliimba as if ni first hand experience!
https://www.youtube.com/watch?v=XWa-eB7Fc2U
taratibu AshaDii.....Mwali my mwali, will you be my valentine? I have more than a little time for you... :smiling:
ha haaaa, unaweza ukajinyakulia bundi, lol!teh hawanyanyuliki,ningekuwa na ungo labda?
Lucky you dear. Mi sina mpenzi, so valentine ni siku ya kuangalia "friends"
na kula junk food nikikaa sebuleni (not dining) as I have the house to myself.
umeona eeeh!Umenikumbusha mbaaaali sana. Lol. Hizo ni classics ambazo kamwe hazitaisha utamu na hamu ya kusikiliza.
he he heeeee, unaweza kubaki peke yako ujue.....Kumbe na wewe mjanja wa IT?
Lucky you dear. Mi sina mpenzi, so valentine ni siku ya kuangalia "friends"
na kula junk food nikikaa sebuleni (not dining) as I have the house to myself.
Amen my dear......God bless you,kama niko heaven vile,nawahurumia wanaojiua na kuacha haya maisha.
ha haaaa, unaweza ukajinyakulia bundi, lol!
bora kuwa kivyako tu ukajipa raha
Mwali my mwali, will you be my valentine? I have more than a little time for you... :smiling:
taratibu AshaDii.....
siku hizi hatuaminiki....... hata yale ya kuitana honey siku hizi inabidi uangalie kulia na kushoto kuona kama mpo peke yenu, lol!
he he heeeee, unaweza kubaki peke yako ujue.....
umeona eeeh! kwani lazima utolewe na mtu?He he he, kalagha baho
Jitoe hata dinner mwenyewe na pochi yako na kiatu chako, treat ya self
umeona eeehh!Bundi ni wengi, na ukitahamaki umenyakua popo, wale wale, ndege wa usiku
Njiwa hakuna kabisa
Amen my dear......
hao wanaojiua wana yao, kwani ukiachwa na huyu si kuna mwingine anakuwa anakusubiri sehemu? kaza buti tu utakutana naye mwingine