Do you have a little time for me?

Do you have a little time for me?

Congrats! 🙂🙂 You've a very good taste of music.

mi niliamua tu kukusaidia kazi yako rafiki, watu walikuwa wanaomba vibao vyao nawarushia, lol!
thanx anyway
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
:behindsofa:

sasa rafiki unajificha nini? unadhani natania? hayo yapo sana tu, kama huamini mwulize AshaDii, aliahidi kurudi kwa ufafanuzi naona kasepa moja kwa moja, sasa sijui kama kwa siku ya leo ataonekana au ndo yupo mafichoni?
 
Last edited by a moderator:
Mie sijatia neno lol! hapo nilikuwa nafanya "mazoezi" nyuma ya kiti hivyo nilikuwa nachungulia kama kuna wakuda lol! hahahahah.. AshaDii yuko busy anakaangiza mahanjumat ya siku ya wapendanao.

rafiki huu mziki huu huu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah lol! Mwambie teja anyonye kwa raha zenu..... na huu je!? Kama kawaida "Kwa hisani ya BAK wa JF"

rafiki rafiki......
miziki kama hii nikiisikilizaga siachi kutoa machozi....... unampa teja kazi ya kubembeleza huku, lol!
sijui niendelee...... no, ngoja niishie hapa.
Kweli hii kwa hisani ya BAK wa JF to @FP, lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom