Do you feel LOVED?

Ni kweli kabisa Hus haina guarantee aim ni kukomeshea. Wewe unafikiri hao nyumba ndogo wana mioyo ya chuma hawaumii mabuzi yao yakiongea na simu na wake zao na kusema "I love you". Hapa nia ni kuumiza watu roho.
<br />
<br />
hahahaha! Kama ni kutamba tu hapo nakuunga mkono. Maana wanawake wengi hawapendwi kuona wanawake wenzao wananyenyekewa hata kama hawana uhusiano na jamaa.
Ngoja nitumie maujanja yako hapo. Lol!
 
Ashadii, thread imetulia sana, mie kwa upande wangu huwa wakati mwingine nahisi maji kupwa na maji kujaa, yaani wakati mwingine najisikia napendwa saaana mpaka najiona im the luckiest woman living in this planet, na wakati mwingine najiona sipendwi, nakuwa mpweke, sometimes unawaza mpaka unalia mwenyewe, then baada ya muda unaona tena mahaba yamerudi, sijui hii nayo ni nini!....na hii hali hainifanyi nikate tamaa ya kukatisha mahusiano

Asante dear for acknowledging&#8230;. Kuhusu swala lako&#8230; Shantel tokana na uzoefu wangu&#8230; kwa maelezo hayo ulotoa katika hii post&#8230; ni kua you are in a good relation ship&#8230; Mahusiana ya Mapenzi hayako constant&#8230; eti kila siku kuwe na so much Love &#8211; Ndio mwaweza pendana bado but still naturally tu mambo yanapoa, then yanarudi&#8230; on and on and on&#8230;. However ni tatizo pale mambo mazuri saana mwanzo but once yakilala basi yamelala moja kwa moja&#8230;. Hata wahusika mjitahidi namna gani vibe hairudi&#8230; and for a long time&#8230; Hivo basi nimependa huo msimamo wako nilo bold&#8230; I bliv ni best option.
 
Jamani Klorokwini JF Lawyer.... Dah! Naona Asante haitoshi jinsi ulivonigusa.... But have to say hivo hivo ASANTE SAAANA....Na salamu hizo hapo chini kabisa nitafikisha..... Ila naomba nifanyie favour... na uniambie from a man's perspective walau kimoja ama mawili ambayo naweza ongeza hapo...
Kusema kweli tangu nijiunge JF hii ndio sredi ya kwanza nimeshindwa kuongezea chochote, yaani umetwanga kotekote, hivyo hiyo man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaume
 
Asante dear for acknowledging&#8230;. Kuhusu swala lako&#8230; Shantel tokana na uzoefu wangu&#8230; kwa maelezo hayo ulotoa katika hii post&#8230; ni kua you are in a good relation ship&#8230; Mahusiana ya Mapenzi hayako constant&#8230; eti kila siku kuwe na so much Love &#8211; Ndio mwaweza pendana bado but still naturally tu mambo yanapoa, then yanarudi&#8230; on and on and on&#8230;. However ni tatizo pale mambo mazuri saana mwanzo but once yakilala basi yamelala moja kwa moja&#8230;. Hata wahusika mjitahidi namna gani vibe hairudi&#8230; and for a long time&#8230; Hivo basi nimependa huo msimamo wako nilo bold&#8230; I bliv ni best option.
Aaaah asha ni kweli kabisa but wanawake huwa tunaumia sana sababu muda woote unakuwa na mapenzi na mtu wako hayashuki ila kwa nini wao yawe hivo, au ndio kama alivosema hapo klorokwini kwamba wanakuwa wamepata kimada akiachana nae ndio anarudi na mapenzi tele kwako
 
Kusema kweli tangu nijiunge JF hii ndio sredi ya kwanza nimeshindwa kuongezea chochote, yaani umetwanga kotekote, hivyo hiyo man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaume

Umeona sasa Klorokwin... Umeongelea kitu cha muhimu saaana na nilisahau kabisa kugusia... Hivo Asante saaana.... Na hope you don't mind nimeiongezea katika list yangu hapo juu.... Haya katika hii post nime quote nakubaliana nayo kabisa... For you and i know sie twatumia mioyo yetu katika relationships hadi sex... hali wanaume more by their juniours.... Again thank you (ukikumbuka nyingine tafadhali....)

Niliacha kitu cha muhimu saaana....
 
Kusema kweli tangu nijiunge JF hii ndio sredi ya kwanza nimeshindwa kuongezea chochote, yaani umetwanga kotekote, hivyo hiyo man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaume
Klorokwini kuna waume pia nao wakipata vimada wanabadilika sana wanashindwa kuzuia kuonyesha feelings zao
 
Kusema kweli tangu nijiunge JF hii ndio sredi ya kwanza nimeshindwa kuongezea chochote, yaani umetwanga kotekote, hivyo hiyo man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaume

Dah! mbichwa wangu umeongezeka ajabu! senks Ashadii bana
 
Duuh... mkuu, pamoja na ujanja janja wangu wa kusoma kitu mara moja au kutomaliza hata kukisoma, imenibidi tu nilisome bandiko lako mara 3!!! Lina ujumbe ambao kama hauko makini, mtu unaweza kufikiria the opposite... lakini ukitafakari zaidi, unajionea picha hiiiyo inajipa yenyewe!! Ukweli mtupu... you have penetrated deeper into female psychology na kuidadavua ipasavyo! This is the kind of stuffs you learn only if you follow a thread thru and thru... ningeliishia kusoma post ya mwanzishaji na za juu juu tu nisingeliona hili. Bravo!
 
Ashadii,hongera kwa kuyaona hayo kama mwanamke.weenizaidiya mwanamke. Umeongea point sana nimekusoma, ila both of us ha2somani. Nakama unavyojua mpaka uji2mbukize kwenye game ndio uyajuehayo kingine Ashadii.nini mapnz nikipofu kwakila m2. Hataitokee wa2 kukusihi au kukukanya juuya ulienae bado m2 haelewi hadiyamkute.na si kwa wanawake2 wanao shindwa kusoma alama zanyakati, hata sis wanaume 2po.Na maranyingi unapokua mjuzi wakuraipenzi na kua muaminifu itakuwia vgum sana kumpata mwenzio tatizo Alamaza Nyakati. Mwisho nikwelikwamba Asojua kuraipenzi cmjuzi wa mapnz..
 
@ Shantel, kuna mod kafanya mawivu ,nazani kaniblock nisiquote post zako lol

bek to ur post no 46, wewe umegusia hisia lakini mimi nilikuwa nazungumzia nguvu (uwezo) wa kudhibiti sex drive kwa partner na kimada/kidumu, nakubaliana na wewe kwamba kama mwanaume atakuwa na hisia na kimada zaidi kuliko partner wake basi mambo nyumbani yataharibika, lakini nilichokuwa namaanisha ni kwamba akiamua basi anao uwezo wa kuwasatisfy wote wawili bila mambo nyumbani kuharibika but kwa mwanamke hii kesi ni Impossible.
 
You have said it Dii... Tatizo lake Klorokwini mpaka aaamue, but he so understands us ladies and relationships.... Alafu Steve huo mtindo wako wakusoma kwa kuperooz... Please at some point you have to stop, unatukosesha kutupo useful inputs zako....
 
My dear, nifanyeje jamani, umeme wenyewe huu wa kutungua...wee hata ndege uwanjani zinakatiwa?!! kilapitopi changu kinapokuwa full chaji nashiriki bila tabu mwaya!!! lol

Seriously, ni ka-uzembe tu, but the good or bad thing is that - am well aware of it!! Nitajitahidi... and won't mind being reminded too. Sawa?! :)
 
Ashadii,hongera kwa kuyaona hayo kama mwanamke.weenizaidiya mwanamke. Umeongea point sana nimekusoma, ila both of us ha2somani. Nakama unavyojua mpaka uji2mbukize kwenye game ndio uyajuehayo kingine Ashadii.nini mapnz nikipofu kwakila m2. Hataitokee wa2 kukusihi au kukukanya juuya ulienae bado m2 haelewi hadiyamkute.na si kwa wanawake2 wanao shindwa kusoma alama zanyakati, hata sis wanaume 2po.Na maranyingi unapokua mjuzi wakuraipenzi na kua muaminifu itakuwia vgum sana kumpata mwenzio tatizo Alamaza Nyakati. Mwisho nikwelikwamba Asojua kuraipenzi cmjuzi wa mapnz..

Asuu Asante saana Mkuu kwa ku acknowledge Thread&#8230; na nimependezewa na hayo uloongea kwani ni kweli kabisa&#8230; haya mambo ya Mapenzi mtu aweza kupa ushauri ukaelewa kama tayari ushawahi kuumizwa&#8230; Otherwise huwezi elewa&#8230;. Na mimi hua na support saana mtu kuumizwa katika mapenzi angalau once in your life time for hutujenga mno&#8230; na kufanya mhusika awe stronger hasa katika swala zima la Mapenzi (ingawa wengine huharibiwa kabisa!!)
 
@ Shantel, kuna mod kafanya mawivu ,nazani kaniblock nisiquote post zako lol

bek to ur post no 46, wewe umegusia hisia lakini mimi nilikuwa nazungumzia nguvu (uwezo) wa kudhibiti sex drive kwa partner na kimada/kidumu, nakubaliana na wewe kwamba kama mwanaume atakuwa na hisia na kimada zaidi kuliko partner wake basi mambo nyumbani yataharibika, lakini nilichokuwa namaanisha ni kwamba akiamua basi anao uwezo wa kuwasatisfy wote wawili bila mambo nyumbani kuharibika but kwa mwanamke hii kesi ni Impossible.
hawa mods bwana wameona karibu tunakuwa soulmates wameanza kutublock hadi kwenye kuquot.....kweli aisee sipati picha nimetoka kwako ukanipa bia tatu then home nikapate tena bia loooooo hiyo imposible kabisa,,,, kwa sex kweli hapo mmetushinda na ukizingatia mwanamke akifanikisha kufika kule kunako......hataki hata kuona tu ile kitu
 
Really??! Is that so? Elezea tafadhali... thanx!
 
@ Shantel, kuna mod kafanya mawivu ,nazani kaniblock nisiquote post zako lol

bek to ur post no 46, wewe umegusia hisia lakini mimi nilikuwa nazungumzia nguvu (uwezo) wa kudhibiti sex drive kwa partner na kimada/kidumu, nakubaliana na wewe kwamba kama mwanaume atakuwa na hisia na kimada zaidi kuliko partner wake basi mambo nyumbani yataharibika, lakini nilichokuwa namaanisha ni kwamba akiamua basi anao uwezo wa kuwasatisfy wote wawili bila mambo nyumbani kuharibika but kwa mwanamke hii kesi ni Impossible.

Wanawake wametofautiana katika ustahimilivu, waweza pishana wakati wa kujulikana i.e days, weeks, months.... But at the end atajulikana for lazima awe LOVE SICK!!
 
Mapenzi ki ukweli kuna watu wana bahati mbaya nayo sana,ukikutana na unayempenda yy anaweza asikupende kihivyo then ukakutana na anayekupenda ww ukawa humpendi kihivyo,MM nilikuwa mmoja wa hiyo hali nishakutana na mabinti kadhaa nikajikuta napenda kupita maelezo na nahudumia hakuna mfano mwisho wa siku nakuta nasalitiwa au nakuja kugundua huyu nilienae hana mapenzi ya kweli kwangu,Mungu si athumani ktk mazingira ambayo sikuyategemea nikakutana na binti mmoja tukafall in love nikapata penzi ambalo sijawahi kupata ikabidi niwekeze tu maana niliogopa kupoteza penzi hilo tamu nikatangaza ndoa nashkuru tunaishi kwa upendo na uaminifu mkubwa na mungu ametujaalia mtoto mmoja sasa maisha yanasonga,mambo ya boy friend na girl friend yanaumiza kichwa sana full pressure.USHAURI KWA WASIOOA/OLEWA KAA NA HUYO ULIENAE ZUNGUMZENI MFUNGE NDOA,MAISHA YA NDOA MATAMU SANA KIUKWELI NA KILA MMOJA AWE HURU KWA MWENZIE.
 
My dear, nifanyeje jamani, umeme wenyewe huu wa kutungua...wee hata ndege uwanjani zinakatiwa?!! kilapitopi changu kinapokuwa full chaji nashiriki bila tabu mwaya!!! lol

Seriously, ni ka-uzembe tu, but the good or bad thing is that - am well aware of it!! Nitajitahidi... and won't mind being reminded too. Sawa?! :)

Now you are talking....lol... Sawa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom