kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,072
- 7,514
Umefanya hadi nianze kujikagua kwenye VAR unaonekana umepita pita huko......hahahVip kuhusu team kataa ndoa una cheo gani kwa kile chama
After VAR review unaonekana upo kwenye team kataa ndoa
Lakini ngoja na wewe nikukague.....nisikae kinyonge naweza kupata mawili matatuAu sio😂
😂😂 VAR inasema et ukipata nafasi ya kua single usiichezeeUmefanya hadi nianze kujikagua kwenye VAR unaonekana umepita pita huko......hahah
Hutapata mawili ma 3 ila utapata 100 na usheeLakini ngoja na wewe nikukague.....nisikae kinyonge naweza kupata mawili matatu
Kwa kweli mana join 2025 ila post 11k .....Hutapata mawili ma 3 ila utapata 100 na ushee
Kazi kwako kijana wa leo🤣🤣Kwa kweli mana join 2025 ila post 11k .....
Ila kuna ujasusi unaufanya hadi nimekunyoshea mikono.....hahahaKazi kwako kijana wa leo🤣🤣
Acha basi au niombe kazi ya doria mtandaoni🤣🤣Ila kuna ujasusi unaufanya hadi nimekunyoshea mikono.....hahaha
Naona upo hoi kwa kicheko hapo🤣🤣Imebidi nibaki nacheka tu
Sio uombe, ni umeshainza tayari hapa ulipwe tu mshahara....mana unachofanya sio doria tu ni msako wa bampa to bampaAcha basi au niombe kazi ya doria mtandaoni🤣🤣
Nimechekaaa😂😂Sio uombe, ni umeshainza tayari hapa ulipwe tu mshahara....mana unachofanya sio doria tu ni msako wa bampa to bampa
Kama unaniona yani.....kuna kanotification nimekapata nimecheka vibaya mnoNaona upo hoi kwa kicheko hapo🤣🤣
Na nimefanya maksudi tu ujue ningeweza kupita kimya kimya kama mwanzo nilikua invisibleKama unaniona yani.....kuna kanotification nimekapata nimecheka vibaya mno
Wewe umefika wapKama unaniona yani.....kuna kanotification nimekapata nimecheka vibaya mno
Najua na ndo kilichonifanya nicheke na kutabasamu kama mpumbavu......hahahaNa nimefanya maksudi tu ujue ningeweza kupita kimya kimya kama mwanzo nilikua invisible
Mm nilipofika siwezi kusema hadharani.......nina kifua....hahahhaWewe umefika wap
Na nilianza toka jioni.....hahhaWewe umefika wap
Sawa😂 au bonyeza kidudeMm nilipofika siwezi kusema hadharani.......nina kifua....hahahha
Siwezi ili ujue nachokagua......hahahSawa😂 au bonyeza kidude