ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,250
- 40,859
ndugu mdau,Do you believe in love? ❤️
Wadau, mnaamini kweli katika upendo wa kimahaba, au siku hizi ni hadithi tu?
Je, kuna mtu unampenda? Anajua hilo? Na unahisi anathamini upendo wako au hauoni kabisa?
Au wewe unapenda kimya kimya kwa kuogopa kuumizwa?
Labda umeamua kuachana na mapenzi kabisa na kuwekeza nguvu zako kwenye kazi, biashara, kilimo au kutafuta maisha.
Au unajidanganya tu kwamba huna unayempenda? 😉😁
Kwa upande mwingine, kuna sehemu unahisi unapendwa kweli? Au unaona ukipendwa na mama yako tu, hiyo inatosha?
NB: Wale wa hela kwanza, mapenzi baadaye msikimbilie kusema hivyo
🤣 Hela tunazitafuta s, lakini mapenzi nayo ni sehemu ya maisha.
ShesRise_1 ❤️💋🤚
Song Meddy Slowly
Mimi naamini katika upendo ❤️Tunaomba kwanza wewe utoe majibu kwa haya maswali halafu twende pamoja😀
Nilijua tu 🤣🤣🤣 Shenziii weweMimi akinipenda baba inatosha 🙌
Sawa mr sasampaNo.....I do believe in money.
Wewe kusema aah🤣Nyuma kabisa kushoto huku naufatilia huu uzi kwa ukaribu🍿🍿
Njoo tupendane nitakupenda mpka basi 🥰Upendo wa kweli upo, ila sasa kumpata atakeyethamini upendo wako wa kweli ndo hayupo.....utampenda mtu kwa moyo wako wote lakini yeye hathamini zaidi anakuwa anaumiza hisia zako tu.....na hii hali huwa ni kwa jinsia zote
Ndio uolewe sasa miaka 20 hio ndio panakua pamoto hapo usisubiri ufike 40 patakua pamepoaMimi naamini katika upendo ❤️
Napia nikiona napendwa hasa na ninae mpenda naona rahaaaa 🥰
Asante mdaundugu mdau,
nakuheshimu sana,
Kuamini katika Mungu hakufanyi nisikupende wewe kama umenivutia (Jokesna,
I think,
it's better to believe and trust in God and not otherwise, na itapendeza zaidi
Safiiiii hongera kwa babu mdinya kobe kukurithisha upendo"Nampenda yeye,
Ye ndo yeye,
Wala siwezi kwenda kwa mwingine...🎶🎵",
Nampenda wife wangu kama Mzee Mdinyakobe Kimario alivyompenda mama yangu 😎.