Do what's right. Even if no one is watching

Do for love. Not for fame.
images%20(26).jpg
 
Nimetoa nilichojaaliwa kwa moyo wangu wa kutoa nikapeleka maji Lita moja tu huku nikijua kwa dilution ya Lita 100+ za maziwa hakuna kitakacho haribika Ila mzee wa Kijiji sikujua kma nae ataleta maji

All in all wanakijiji Cha pembeni kwetu walifurahia maji kwa sababu ya mioyo yetu ya kutoa pasipo kulazimishwa na kuyafanya maji yale yawe na thamani Sana machoni Pao

Ni mtazamo tu.
 
Ni kweli, zawadi huwa haichaguliwi ndio maana kijiji cha pembeni walifurahia kwa walichopewa, maana hawakujua wanaletewa nini. Ila aibu ilibaki kwenye kijiji chetu sisi maana tulijua tulipanga kupeleka nini.

Hata mimi mzee wa kijiji sikujua kama wanakijiji wengine wangefanya kama mimi, nilidhani wangetanguliza utu mbele.
 
Back
Top Bottom