FarLeftist
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 363
- 21
Mkuu sio TAKUKURU, NI IDARA ZOTE ZINATUMIKA KISIASA
1) UHAMIAJI- mara huyu sio raia, mara huyu raia, na juzi wamemgongea RA Muhuli wa EXIT wa pale NIA ili ionekane kuwa ametoka nje siku ya tukio akuwepo
2) JWTZ- Kama mlivyomsikia Shimbo+ issue ya Meremeta
3) POLICE- jinsi wanavyoshughulikia watu kutokana na siasa zao ( issue ya Shibuda na yule jamaa wa CCM)
4) TISS-Kama inavyojulikana
5) NEC-Kama inavyojulikana
6)TCA (Mawasiliano)-Hawa jamaa walikuwa hawajuhi zile MSg z kumkashifu Slaa zinatoka wapi
7)TBC, DailyNEws,HLeo-Hivi ni Vyombo vyaq Habari vya Umma lakini vinafanya kazi ya CCM
8)..........
9)..........
je kuna tofauti na mambo ya museveni hapo jirani?