EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Ukraine haiwezi kupiga Moscow hata wanaompa silaha wanamwambia zele Moscow sio target maana wanajua likirushwa hata kombora moja tu kuelekea mji wowote Urusi,Muda wa marekani kumpa Ukraine long range missiles umewadia ili nae awe anaichungulia Moscow
Hiyo ni red line ambayo hata Ukraine wenyewe hawataki kuivuka.Muda wa marekani kumpa Ukraine long range missiles umewadia ili nae awe anaichungulia Moscow
Kwa walipo fikia kila mmoja anaogopaUkraine haiwezi kupiga Moscow hata wanaompa silaha wanamwambia zele Moscow sio target maana wanajua likirushwa hata kombora moja tu kuelekea mji wowote Urusi,
kifuatacho ni US na mashoga wenziwe kupelekewa mvua ya makombora yaliyotunzwa kwaajili yao.
Naunga mkono hoja,Ni Muda Sahihi kabisa wa Ukraine kufutwa Kwny ramani ya dunia.Muda wa marekani kumpa Ukraine long range missiles umewadia ili nae awe anaichungulia Moscow
hatar hiiKufuatia mashambulio makubwa ya anga kote Ukraine leo, Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alionya "kutakuwa na mengine". Akiandika kwenye mitandao ya kijamii, mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliashiria kwamba kuongezeka kwa mashambulizi kunaweza kuwa mwanzo wa kuongezeka zaidi kwa vita kwa upande wa Urusi.
"Ukraine itakuwa tishio la mara kwa mara, la moja kwa moja na la wazi kwa Urusi," aliandika. "Lengo la hatua zetu za siku za usoni lazima liwe kuuvunja kabisa utawala wa kisiasa nchini Ukraine."
Mhariri wa BBC wa Urusi Steve Rosenberg anasema taarifa ya aina hii inaonyesha kwamba, ikiwa kweli huu ndio mtazamo wa Kremlin, Urusi inaweza kutaka kuendelea na vita hadi ihakikishe Ukraine nzima imerejea katika mzunguko wa Urusi.
Urusi ilituma makombora katika maeneo mbalimbali ya Ukraine siku ya Jumatatu
Mashambulizi hayo yanajiri siku mbili baada ya daraja pekee linalounganisha Urusi na Crimea inayokaliwa kimabavu na nchi hiyo kushambuliwa.
Hapo jana, Rais Vladimir Putin alilaumu idara za ujasusi za Ukraine kwa kile alichokiita kitendo cha kigaidi.
Anatarajiwa kuongoza kikao cha baraza lake la usalama leo kujadili mlipuko huo.
Maafisa wa Ukraine wanasema idadi kubwa ya watu wamejeruhiwa katika mashambulizi ya makombora huko Zaporizhzhia usiku kucha.
View attachment 2383533View attachment 2383534
Ipo mahali nilisema ,hakuna mjinga atakubali umlipue na mabomu kutoka mabali alafu akuangalie hakuna, inaenda kuwa piga kwangu nami nipige Kwako,Haya sasa kumekucha...USA naye kasema ni wakati sasa wa ukraine kupewa makombora ya LONG RANGE ili ijilinde kikamilifu kutokea mbali
Tena kubwa shehe๐hatar hii
Kuahidi leo ๐ ๐ ๐ hizo HIMARS zimesaidia nini?Haya sasa kumekucha...USA naye kasema ni wakati sasa wa ukraine kupewa makombora ya LONG RANGE ili ijilinde kikamilifu kutokea mbali
Putin ameshasema jamaa anakazia tuKumenoga. Hii kauli ingependeza zaidi aitoe Putin. Ni sahihi sana kujua nia halisi za uvamizi.
"Lengo la hatua zetu za siku za usoni lazima liwe kuuvunja kabisa utawala wa kisiasa nchini Ukraine."
Piga hao wasiojielewa mpaka muhogo waite muwowoKufuatia mashambulio makubwa ya anga kote Ukraine leo, Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alionya "kutakuwa na mengine". Akiandika kwenye mitandao ya kijamii, mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliashiria kwamba kuongezeka kwa mashambulizi kunaweza kuwa mwanzo wa kuongezeka zaidi kwa vita kwa upande wa Urusi.
"Ukraine itakuwa tishio la mara kwa mara, la moja kwa moja na la wazi kwa Urusi," aliandika. "Lengo la hatua zetu za siku za usoni lazima liwe kuuvunja kabisa utawala wa kisiasa nchini Ukraine."
Mhariri wa BBC wa Urusi Steve Rosenberg anasema taarifa ya aina hii inaonyesha kwamba, ikiwa kweli huu ndio mtazamo wa Kremlin, Urusi inaweza kutaka kuendelea na vita hadi ihakikishe Ukraine nzima imerejea katika mzunguko wa Urusi.
Urusi ilituma makombora katika maeneo mbalimbali ya Ukraine siku ya Jumatatu
Mashambulizi hayo yanajiri siku mbili baada ya daraja pekee linalounganisha Urusi na Crimea inayokaliwa kimabavu na nchi hiyo kushambuliwa.
Hapo jana, Rais Vladimir Putin alilaumu idara za ujasusi za Ukraine kwa kile alichokiita kitendo cha kigaidi.
Anatarajiwa kuongoza kikao cha baraza lake la usalama leo kujadili mlipuko huo.
Maafisa wa Ukraine wanasema idadi kubwa ya watu wamejeruhiwa katika mashambulizi ya makombora huko Zaporizhzhia usiku kucha.
View attachment 2383533View attachment 2383534
Subiri uone kama kama atatuma๐๐Muda wa marekani kumpa Ukraine long range missiles umewadia ili nae awe anaichungulia Moscow
Hatari na nusuHiyo ni red line ambayo hata Ukraine wenyewe hawataki kuivuka.
Unadhani wao ni wajinga kupambana kwenye nchi yao bila kufanya mashambulizi makali kuelekea Moscow?
Mkuu umepiga kitoko cha ngapi ๐ ๐ ๐Naunga mkono hoja,Ni Muda Sahihi kabisa wa Ukraine kufutwa Kwny ramani ya dunia.