Dkt. Tulia umelikoroga, acha ulinywe!

Dkt. Tulia umelikoroga, acha ulinywe!

Tulia kukosa kwake nyadhifa sidhani inamuathiri kiasi hicho Kama tunavyomzungumzia yule dada ana hela vibaya mno,nyumba yake yenyewe ni hekalu, ana vitega uchumi vingi
Nyumba gani? Iliyo chomwa moto?
 
Kama mijengo na vitega uchumi vinatuliza roho kuliko madaraka, basi Samia na genge lake wasingefanya waliyofanya ili kujibakisha madarakani, maana wana pesa na ukwasi chekwa.
Na Salma Kikwete asingejiangaisha huko bungeni bila kusahau kutaka alipwe kama mke wa mstaafu.
 
Atajijua yy mwenyewe na familia+ukoo wake

Ova
 
Hivi kosa hasa la Tulia lilikuwa nini?
Hakukidhi vigezo vya 'remote control' iliyoko msoga,
Katika kipindi cha uspika kilichoisha, Tulia amekuwa mtu wa kuhoji hoji baadhi ya maamuzi ya serikali kupitia mawaziri wake, jambo ambalo ni hatari kwa watafunaji.

Ni wazi kwamba Zungu anakidhi.
Hii ina maana ile mihimili iliyokuwa inajitegemea ikiwemo Bunge na Mahakama, sasa hivi inapikwa chungu kimoja na Bi Chura.
 
Ishu sio kukosa usupika ishu maisha yake yapo hatarini kama babu yake ndugwai anytime itatumika elimination method
 
Ana nafasi kubwa sana ya kidunia spika wa maspika wa duniua hivyo nafasi za ndani amewaachia wengine
 
Tulia ataendelea kula posho kama mbunge na spika mstaafu hadi kiama, labda stress tu kama ana tamaa.... kwamba hakupaswa kustaafu?
 
Hivi kosa hasa la Tulia lilikuwa nini?

Tulia slikuwa pale kwa vile kipinfi wanampiga chini Ndugai Maza hakuwa ba ubavu wa kuweka watu wake. Sasa nguvu keshaipata. Anafanya kama atakavyo.
 
Tulia kukosa kwake nyadhifa sidhani inamuathiri kiasi hicho Kama tunavyomzungumzia yule dada ana hela vibaya mno,nyumba yake yenyewe ni hekalu, ana vitega uchumi vingi
Hata Samia ana hela lakini uraisi hataki kuachia,kukosa uspika mchezo
 
Tulia kukosa kwake nyadhifa sidhani inamuathiri kiasi hicho Kama tunavyomzungumzia yule dada ana hela vibaya mno,nyumba yake yenyewe ni hekalu, ana vitega uchumi vingi
Kutunza hela ni kipaji.

Nilifika kijiji kimoja na kuna aliyewahi kuwa waziri ana vi assets kadhaa si kulingana na hadhi yake, Ila ameajiriwa na mtu binafsi kwa sasa.
 
Kutunza hela ni kipaji.

Nilifika kijiji kimoja na kuna aliyewahi kuwa waziri ana vi assets kadhaa si kulingana na hadhi yake, Ila ameajiriwa na mtu binafsi kwa sasa.
Tulia ataendelea kupokea mshahara wa spika mstaafu mpaka afariki so yule njaa Hana nashangaa watu wanavyomkejeli
 
Back
Top Bottom