4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,497
- 13,331
Nchi hii ni ya kipumbavu sana , mtu umekua spika , au umekua mke wa Rais mstaafu au waziri mkuu ,unaenda kuchukua form ya kugombea ubunge , kuna picha ya Majaliwa niona na nimefurahi sana , Majaliwa bado umri unaruhusu ila kastaafu na ukimwangalia hana stress yani , kwamba nje ya siasa huwezi kuishi?